Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,


Yani hata hili desa aloliandaa jamaa liko poa sana.
 
Kumbe ni dr masoud! Aka mr misifa!, kawaida yake hiyo! Hawamjui ndio maana wanamponda kijana wa watu.
Ajapata cpa huyo, kiwango hana, na hilo desa lake nani editor ili lipate idhini yakutumika kama reference material? Poleni jamani

Wewe nawe acha kukurupuka alekuambia ni Dr. Masoud nani?
 
Kama sijakupata kwa lolote vile. Kuna wenzenu hiyo pesa ndio inasolve hadi matatizo ya ada. Sasa kila mwalimu atakae ingia darasani nakulazimisha kununua materials zake kwa bei hiyo patakalika kweli?

Wapo walomtaarifu jamaa kuwa hawana uwezo wa kununua desa na wameeleweka ndugu na jamaa kawasaidia
 
hoja niionayo hapa ni kama mwalimu anauza copyrighted material ambayo ameandaa mwenyewe ni haki yake kuuza kulingana na thamani ya bei ya soko. kwa hali yoyote ile manunuzi ni hiari ya mtu, kutegemea na jinsi anavyoona umuhimu wa hayo material. kutoa copy copyrighted material bila kujali fair use ni kinyume cha sheria, na pengine hapo ndipo ilipo dilemma ya kulazimisha wanafunzi wote wanunue au wanunue wachache na wengine wakatoe kopi. options zote mbili zina madhara yake, wenye ufahamu zaidi watatusaidia kutuelewesha/
 
mkuuu utamuelewaje wakati ni kilaza? sijui atakuwa mvuta bangi huyu
 
Kuwalazimisha wanafunzi kununua desa la lecturer si jambo la kiungwana,ingawa wanasema elimu ni gharama.
Ebu vuta picha ingekuwaje km wakina Prof. Shivji, chris mahina, etc, wangelazimisha wanafunzi wao wanunue vtabu vyao km sehem ya kupata alama za course work kuna mtoto wa masikin angepata elimu.

MWANAFUNZI ANATAKIWA KUWA NA VITABU ILA SIO KULAZIMISHWA KUNUNUA.
 
Hii ishu si imetokea kule UDBS!!! Mimi sioni kama kuna haja ya kulalama maana ndio practical ya ujasiriamali kwa wanafunzi wake? Yeye kaamua kuwekeza kwenye elimu na siyo kila kitu mnapaswa kuelezwa malengo yake
 


Ni kweli kabisa mleta mada yupo sahihi,na yawezekana kina chomkera si tu bei pia KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

kwa vyovyote vile kuna tatizo kubwa apo.



 
 
Nunueni desa acheni majungu ndio kazi ya ele ya stationary. Cio udsm tuu. Hata udom.
 
Kama unadhani elimu ni gharama jaribu ujinga. Huyo muhadhiri kawasaidia na kaondoa tatizo la kuazimishana tilio ue ikikaribia wakati kila mtu alipata pesa ya stationary. Hayo mahesabu unayopiga mbona haujapiga 200,000-10,000 unabakiwa na nini?
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Acha uongo wewe,sema anawaambia mtihani utatoka humo ila
hawezi sema "kununua ni sehemu ya course work"
 
Kuuza si dhambi wala kosa. Ila kulazimisha ni kosa. Kwanini asiuze kama imetokana na jasho lake? Ametumia muda, elimu yake na nk.
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

hii maada imekaa kimajungu zaidi, soma shule kijana acha kulalamika hovyo.
 
Yani hata hili desa aloliandaa jamaa liko poa sana.

Nakubaliana na wewe maana nimeliona ni zuri sana na kuzidi hata textbook zinazotoka nje na kuuzwa zaidi ya Tshs 60,000 na academic writing imezingatiwa. Anayelalamika ni mpenda vya bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…