Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anagawa ufaulu, siyo bureHuyu mwalimu watu wanaohusika mimi nashauri wamwangalie kwa jicho la kipekee pengine anaweza akaja akatufaa sana kama kiongozi wa ngazi za juu ndani ya nchi yetu, huko mbele ya safari. Watoto wa rika hili huwa siyo rahisi sana wakampenda mtu kwa bahati mbaya tu; huyu mtu lazima atakuwa ana qualities za kipekee sana ambazo watu tulio wengi hatuna. Mungu ambariki sana mwalimu huyu
Weye ungependa uzawadiwe kwa namna hiyo?Umekaa ukatafakari maana ya hizo zawadi? Nikikuzawadia chupi aina ya g-string maana yake nini? Yawezekana nataka uanze kuwa stripper?Kuwa makini na usihusishe kiiilaa kitu na siasa.Siyo kama kupiga mahindi shambani kwa nia ya kuyapukuchua.😝😝😝😝😝Chadema wanapinga Tanzania ya viwanda
Unajua tatizo letu tulishakuwa na mtizamo hasi sana kwamba siyo rahisi mtu akawa na tabia zile nzuri za kuwapendeza wengine katika kiwango cha juu. Hawa wanafunzi ni watu wazima na wana akili, na wanajua kuwa kwa kumpa zawadi mwalimu anayegawa marks, wanakuwa wanamchongea. Angekuwa anagawa marks wasingeweza kufanya hivyo, lazima wangekausha!atakuwa anagawa ufaulu ,siyo bure