The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
plz naomba kufahamu,ili mtu awe lecturer ktk university/any other educational institution;
1.first degree yake anatakiwa awe na GPA gani?
2.masters awe na GPA gan?
-accoding to TCU criteria!
NB:Mimi nafahamu anatakiwa awe na atleast 3.8 ya bachelor degree na 4.0 ya masters lakini kuna vyuo vingine huwa naona wanachukua hadi wenye 3.5 kwenye bachelor degree mf.chuo cha mipango dodoma na kipo under TCU.
-rejea tangazo lao la kazi hivi karibuni.
Nawasilisha wakuu!

Mi navojua ni upper second for bachelor na kuanzia 4 masters. Lakin kama vigezo havijazingatiwa ni kutoka na mafuriko ya vyuo vya kata
tcu kinatoa minimum points then vyuo vingine vinaweza set standars zao ambazo sio chini ambazo tcu wametoa!!!

kwa hyo inategemea chuo kinatakaje lakn tcu hawahusiki au tcu wanaelekeza kuanzia upper second na cyo 3.8 kama baadhi ya vyuo vinavyotaka

tcu kinatoa minimum points then vyuo vingine vinaweza set standars zao ambazo sio chini ambazo tcu wametoa!!!
offcourse utafanikiwa wewe komaa tu usikate tamaa na nitakuombea sana...iila tu upunguze ushabiki timu la wazee hilo utakufa kwa stressguyz mim ninandoto zakuja kuwa LECTURER nimepangwa bachelor of science with education UDSM nitafanikiwa?

offcourse utafanikiwa wewe komaa tu usikate tamaa na nitakuombea sana...iila tu upunguze ushabiki timu la wazee hilo utakufa kwa stress

guyz mim ninandoto zakuja kuwa LECTURER nimepangwa bachelor of science with education UDSM nitafanikiwa?

komaa xna ndugu,

Muhimu pata GPA nzuri zaidi ya hyo 3.8 na departmental GPA pia iwe kuanzia 3.8 kupunguza competition pia uelewe kile unachojifunza c kufaulu tu hii usaidia wakati wa interview pia jisomee kiingereza kikae vizuri grammer kwa science ni rahisi kupata chance ila masters lazima upate GPA ya 4

Jamani mi nilikuwa na ndoto za kubaki UDSM lakin sijameet qualifications zao, nina 3.7 ya B.com. Nisaidieni vyuo ambavyo naweza kupata U-tutorial assistance.

kukomaa ni lizima bradah ili kutimiza ndoto zangu....lazima nitengeneze GPA 4 poit kadhaa hvi

Jamani mi nilikuwa na ndoto za kubaki UDSM lakin sijameet qualifications zao, nina 3.7 ya B.com. Nisaidieni vyuo ambavyo naweza kupata U-tutorial assistance.

nakushauri tu,acha mbwembwe na makwekwe kwe kwe mengi,ingia kwenye system kwanza ndo uchek upepo wake dogo,karibu.
thanx kwani nilishaanza kukata tamaa.

mipango,dodoma
nashukuru mkuu

saut,udom,tumain na mzumbe.