The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
plz naomba kufahamu,ili mtu awe lecturer ktk university/any other educational institution;
1.first degree yake anatakiwa awe na GPA gani?
2.masters awe na GPA gan?
-accoding to TCU criteria!
NB:Mimi nafahamu anatakiwa awe na atleast 3.8 ya bachelor degree na 4.0 ya masters lakini kuna vyuo vingine huwa naona wanachukua hadi wenye 3.5 kwenye bachelor degree mf.chuo cha mipango dodoma na kipo under TCU.
-rejea tangazo lao la kazi hivi karibuni.
Nawasilisha wakuu!