[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi nazipenda series zao haswaa kinacho nivutia ni story yaani uandishi wa script zao na zile dramaNikiri kwamba nilianza kuangalia korean drama kwenye ile series ya jumong.
Nilikua najua kwa jamii ya watu wa asia wakicheza movie katika mazingira ya kifalme au ya kibush kama flying swords, taichi master, true legend basi movie inakua ina mkono mwanzo mwisho
Jumong ndio ilikia series ya kwanza kuni prove wrong, wanaruka ruka tu na mashuka yao mpaka episode inaisha ni mizunguko tu sijui mwana wa mfalme katoka gogolio kaenda kupeleka umbea
Ilinishinda kwa kweli
Atajijua mwenyew na maisha yake au sioπ€£π€£π€£Atajijua mwenyewe
Ndiyo hulka yaoHivi hawa wakorea moja ya culture yao ni kupenda uzuri
Maana Kuna dada mmoja muigizaji ashawah kujiua kisa wanamsema mbaya na kakonda sana
[emoji16][emoji16][emoji16]atajijua mwenyew na maisha yake au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ile Ni balaa saanaIris kile ni Chumaa mkuu , kaliii sana
[emoji16][emoji16][emoji16]Sisi tunaangalia utunzi bora kwenye scripts
Ukitutengenezea script nzuri hatuna noma hata kama sterling akiwa kishoka sisi tutaangalia na kui rate
Yule pisi yangu alikuwa hivi hivi Tunashare na mchiz ila mchizi hajuiπ€£π€£Afanye plastic/iron sajari mie kwake hoi.nampenda sana.
Sijui analijua hili lakin..!!!ππ
Hapo Sasa Tuko pa1 nakubaliana na weweNi kweli. Sura yake inambeba ila hana maajabu kwenye kuigiza
Naomba nitajie app inayoonyesha series za KoreanYule pisi yangu alikuwa hivi hivi Tunashare na mchiz ila mchizi hajui[emoji1787][emoji1787]
Sawa sawa mkuu tayariMtoa mada rekebisha hapo, lee min ho hana miaka 27 and miaka 33
Koreans wengi wanapenda sura nzuri kwa actors. Wazalishaji wanaumiza sana vichwa kwenye casting ili series zao zisibume. Though nowadays mentality hiyo inapungua.Sisi tunaangalia utunzi bora kwenye scripts
Ukitutengenezea script nzuri hatuna noma hata kama sterling akiwa kishoka sisi tutaangalia na kui rate
π€£π€£π€£Ni kweli. Sura yake inambeba ila hana maajabu kwenye kuigiza
Hahaaa kuna wengine wana sura nzuri na kuigiza vizuri pia like song joong kiHapo Sasa Tuko pa1 nakubaliana na wewe
Kumbeeπ€π€Koreans wengi wanapenda sura nzuri kwa actors. Wazalishaji wanaumiza sana vichwa kwenye casting ili series zao zisibume. Though nowadays mentality hiyo inapungua.
Uko vizuri sana kitengo hichii mkuuHahaaa kuna wengine wana sura nzuri na kuigiza vizuri pia like song joong ki
Mnaenda Jamaica wote au kila mtu na wakat wake...???Sikuwahi kuwa Shabiki kindaki ndaki korean DRAMAS , Aidha ipambwe na ihit sana mtandaoni hapo ningejisogeza nipate kuangalia
Kutokuwa shabiki wa movie hizo haimaanishi hawajui hawa jamaa kwenye movie zao wako makini mno
Movie zao ni kali shout out kwa "Waongozaji wao"
Kwakweli movie zao ni kali ila maswala ya watu mnakutana Episode ya kwanza mnakuja Kudate Episode ya Mwisho mimi yalinishindaga kwa kweli ,,, kitu cha mzungu mzee Episode ya kwanza tu Washangonoka(,jokes,)
Dada zetu ndiyo wapenzi haswa wapenzi wa korean Dramas ,
Ndiyo kusema kwamba baadhi magirl wangu, nliowahi kupita nao huko nyuma , walikuwa wananisukuma kucheki hizi movie hasa tukiwa wote,hapo kidogo ningefatilia
Na nlikuwa najua kama nashare na mchizi Lee min hoo maana daah Wadada huwaambii kitu kwa huyu mwamba....Isiwe kesi as long as nlishare na Star wa movie duniani basi mambo yente japo yeye alikuwa hajui.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pongezi kwa Pisi yangu ya sasa ,maana wanasema utampata wa kufanana nae , Huyu anapenda Kubeti, Shabiki wa arsenal na anakula Moshi kama kawa.,binti huyu wa mombasa Anatafuna hadi miraa
Asante mama mkwe kwa kuniletea huyu kiumbe Duniani ubarikiwe sana popote ulipo
Turudi kwenye madaa
Nadhani wengi wetu tunamfahamu mwamba Lee min hoo ,
Muigizaji wa Korea Kusini na mwanamitindo Lee Min Ho, aliyejulikana zaidi kwenye kazi zake "BOYS OVER FLOWER" na "CITY HUNTER", na nyingine nyingi zilizofanya poa kunako soko la Dunia
Hizi tetesi tulianza kuziskia muda mrefu inasemekana kuwa mwamba kapigwa kisu cha upasuaji wa plastiki ili kuboresha Sura yake
View attachment 1713661
Hili linaipa nguvu sana kutokana na na KOREA kuwa nchi kinara kwa ufanyaji wa plastic surgery ikifwatiwa na THAILAND
Lee Min Ho, inakisiwa kufanya upasuaji wa kubadilishi muonekano wake, akitengeneza pua yake, kapiga sindano ya kutengeneza midomo (lips) ,kupunguzwa kidevu na kunyoshwa sura
View attachment 1713662
Hata hivyo madai mengine yanaidai sasa hivi sura Imekuwa nyeupe zaidi ya mwanzo. ni zaidi ya Surgery 12 ndizo alizofanyiwa "inasemeka"
ππππππ€£ daahNi NGAPULILA aka PUNGAZEZE?
Wote mkuu, lakin tulikuwa hatujuani .....baada ya kujuan mambo yamekuwa balaaMnaenda Jamaica wote au kila mtu na wakat wake...???
Anyway hongera kwa kumpata unayefanana naye.
Unamuongeleaje II jung suhye?Hahaaa kuna wengine wana sura nzuri na kuigiza vizuri pia like song joong ki