Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Nikiri kwamba nilianza kuangalia korean drama kwenye ile series ya jumong.

Nilikua najua kwa jamii ya watu wa asia wakicheza movie katika mazingira ya kifalme au ya kibush kama flying swords, taichi master, true legend basi movie inakua ina mkono mwanzo mwisho

Jumong ndio ilikia series ya kwanza kuni prove wrong, wanaruka ruka tu na mashuka yao mpaka episode inaisha ni mizunguko tu sijui mwana wa mfalme katoka gogolio kaenda kupeleka umbea

Ilinishinda kwa kweli
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi nazipenda series zao haswaa kinacho nivutia ni story yaani uandishi wa script zao na zile drama
 
Sisi tunaangalia utunzi bora kwenye scripts

Ukitutengenezea script nzuri hatuna noma hata kama sterling akiwa kishoka sisi tutaangalia na kui rate
Koreans wengi wanapenda sura nzuri kwa actors. Wazalishaji wanaumiza sana vichwa kwenye casting ili series zao zisibume. Though nowadays mentality hiyo inapungua.
 
Koreans wengi wanapenda sura nzuri kwa actors. Wazalishaji wanaumiza sana vichwa kwenye casting ili series zao zisibume. Though nowadays mentality hiyo inapungua.
Kumbee🤔🤔
 
Sikuwahi kuwa Shabiki kindaki ndaki korean DRAMAS , Aidha ipambwe na ihit sana mtandaoni hapo ningejisogeza nipate kuangalia

Kutokuwa shabiki wa movie hizo haimaanishi hawajui hawa jamaa kwenye movie zao wako makini mno
Movie zao ni kali shout out kwa "Waongozaji wao"

Kwakweli movie zao ni kali ila maswala ya watu mnakutana Episode ya kwanza mnakuja Kudate Episode ya Mwisho mimi yalinishindaga kwa kweli ,,, kitu cha mzungu mzee Episode ya kwanza tu Washangonoka(,jokes,)

Dada zetu ndiyo wapenzi haswa wapenzi wa korean Dramas ,

Ndiyo kusema kwamba baadhi magirl wangu, nliowahi kupita nao huko nyuma , walikuwa wananisukuma kucheki hizi movie hasa tukiwa wote,hapo kidogo ningefatilia

Na nlikuwa najua kama nashare na mchizi Lee min hoo maana daah Wadada huwaambii kitu kwa huyu mwamba....Isiwe kesi as long as nlishare na Star wa movie duniani basi mambo yente japo yeye alikuwa hajui.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pongezi kwa Pisi yangu ya sasa ,maana wanasema utampata wa kufanana nae , Huyu anapenda Kubeti, Shabiki wa arsenal na anakula Moshi kama kawa.,binti huyu wa mombasa Anatafuna hadi miraa
Asante mama mkwe kwa kuniletea huyu kiumbe Duniani ubarikiwe sana popote ulipo

Turudi kwenye madaa

Nadhani wengi wetu tunamfahamu mwamba Lee min hoo ,



Muigizaji wa Korea Kusini na mwanamitindo Lee Min Ho, aliyejulikana zaidi kwenye kazi zake "BOYS OVER FLOWER" na "CITY HUNTER", na nyingine nyingi zilizofanya poa kunako soko la Dunia

Hizi tetesi tulianza kuziskia muda mrefu inasemekana kuwa mwamba kapigwa kisu cha upasuaji wa plastiki ili kuboresha Sura yake

View attachment 1713661

Hili linaipa nguvu sana kutokana na na KOREA kuwa nchi kinara kwa ufanyaji wa plastic surgery ikifwatiwa na THAILAND

Lee Min Ho, inakisiwa kufanya upasuaji wa kubadilishi muonekano wake, akitengeneza pua yake, kapiga sindano ya kutengeneza midomo (lips) ,kupunguzwa kidevu na kunyoshwa sura

View attachment 1713662

Hata hivyo madai mengine yanaidai sasa hivi sura Imekuwa nyeupe zaidi ya mwanzo. ni zaidi ya Surgery 12 ndizo alizofanyiwa "inasemeka"
Mnaenda Jamaica wote au kila mtu na wakat wake...???
Anyway hongera kwa kumpata unayefanana naye.
 
Back
Top Bottom