Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Bro uko sahihi
Bro uko sahihi bridal mask nivkali kuliko movie za mshikaji
 
Bro unaisifia season ya kijasusi inamtafuta mtu kwa miaka 20 kisha anakuja new comer anamwambia mkuu wa tech tutumie facial technology kumpata huyu mtu, wanatumia ndani ya nusu saa washajua alipo.

Yaani mkuu wa tech yupo miaka yote.

Facial tech ipo miaka yote.

Ila new comer ndiyo katoa wazo.

Hii ni muvi ya kuitwa bonge la muvi?
 
Hivi hawa wakorea moja ya culture yao ni kupenda uzuri

Maana Kuna dada mmoja muigizaji ashawah kujiua kisa wanamsema mbaya na kakonda sana
Ile nchi unaweza ukawa na vigezo vyote vya kuajiriwa, ila sura ikakuponza. Yaani kama unasura mbaya unaweza ukakosa hata kazi ya ulinzi. Hilo jambo linanishangaza sana juu ya hawa watu.
 
🀝🀝
 
Ile nchi unaweza ukawa na vigezo vyote vya kuajiriwa, ila sura ikakuponza. Yaani kama unasura mbaya unaweza ukakosa hata kazi ya ulinzi. Hilo jambo linanishangaza sana juu ya hawa watu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…