Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Mimi sioni tofauti naona tu picha za kushoto low quality na hazina filter huku za kulia high quality with filters
 
Iris kile ni Chumaa mkuu , kaliii sana
Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
 
Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
Wazubgu wako bomba zaid binafsi horrors series huwa naziadmire sana
 
Ili ufurahie movie za kikorea angalia za vijijini tu hizi nyingine naona magumashi sana ukiangalia za vijijini kuanzia empre chunchu empres ki nk ni movie ambazo haziboi kuangalia mi za mjini nilikubali kama movie mbili tu Rear monster na goodbye mr black ila nimeangalia movie nyingi za kolea sijaona movie nyingine naishiaga njiani tu
 
Sasa movie zina episodes, au series?
 
Huyu mshikaji sijawahi kumwelewa hata siku moja, namkubali sana yule mwamba aliecheza Vagabond.
Naam siumeona hata ile series yenyewe ..Huyo jamaa miyeyusho tu hamna kitu
 
Kwani tech siniujuzi na ujuzi umetofautiana so hapo tatizo liko wapi mkuu !?
 
Bongo muvi za asia....sjawai angalia na sitoangalia..na siwez kuna ruhusu hata dem wangu aangalie nikiwepo..infact hata nisipokuepo..yan naweza mpiga kibuti kabisaa

Sabab zangu
1.siwez angalia muvi nje ya holywood..na sio holywood ilimrad. Ni yale makampun ya usambazaj na production makubwa tu maana had wakusambazie or produce lazima muv waiamini sanaa

2.siwez angalia low budget muvi..hata iwe imetengenezwa marekani...muvi wanazotumia tomato kama damu(hahah.joke)

3.siwez angalia muvi iliyotafsiriwa..yaam uongee kichina halaf huku niskie kizungu..no way

4.siwez angalia muv yenye subtittles mwanzo mwisho.nakua naangalia maandish tu badala ya muvi

5.siwez angalia series theme za mapenz mwanzo mwisho...no way..kuna mambo meng zaidi ya mapenz ulimwengun hapa..wamarekan or wazungu walilijua hilo kitambo ndomana yakaja ma kina 24..,lost..prison break etc

Ndio..uzi huu sio wangu.......sooooo whattt.
 
Kwani tech siniujuzi na ujuzi umetofautiana so hapo tatizo liko wapi mkuu !?
Yaani mkuu wa tech yupo miaka yote na ndiye anajua namna ya kuoperate hiyo facial technology inatakiwa itumike wakati gani ila ofisi nzima hawajawahi kuitumia kumtafuta huyo mtu, ila new comer ndiye kaja na wazo la kuitumia na unasema ujuzi unatofautiana?

Ujuzi wa system yako ambayo inaitwa facial technology ilibidi aje mtu wa nje kukwambia uitumie? Kumtafuta gaidi?

Kwakweli hakuna tatizo mkuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapa mkuu tunataka kufanana Sema mimi marvel pale Hunichomoi
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…