Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Muacheni bae wetu kwa kweli, drama za kikorea zipo nzuri nyingi zenye story tofauti tena za hivi karibuni, kuna Alice, vagabond, Mr sunshine, hotel del Luna, Mr queen, the river where the moon rise, royal agent inspection, my father is strange na nyingine nyingii
 
wenye bae wao wamekuja
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi nazipenda series zao haswaa kinacho nivutia ni story yaani uandishi wa script zao na zile drama

Mimi nilikuwa napenda zile za bush ambazo ni true stories mfano Great Queen Seon Deok na A tree with Deep Roots.
Ukiangalia out of entertainment kiasi kuna vitu vingi tu unachukua kuliko studio fiction za Hollywood
 
bongo ukifanyiwa sugery 12 usoni unafanana na fenesi walahiπŸ˜‚
 
Kula tano mkuu, IRIS Ni the best korean espionage/intelligence drama ever
 
Mi namuonaga wa kawaida tu chembambaaa kipo kama kidadaaa
Raha ya mwanaume awe pande la mtu
 
Mimi hizi za kikorea nilipenda moja tu jumong, nimeshangaa imekuwaje parasite kuchukua tuzo ya kamataifa wakati INA story kama ya bongo movie.

Ile parasite mi sijaielewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…