hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hizo za bush ndio ambazo Mimi Niko addicted nazo Sasa na zielewa Sana ila Sasa time ya kuzitazama ndio huwa inabana sababu ya u-busyMimi nilikuwa napenda zile za bush ambazo ni true stories mfano Great Queen Seon Deok na A tree with Deep Roots.
Ukiangalia out of entertainment kiasi kuna vitu vingi tu unachukua kuliko studio fiction za Hollywood