Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Mimi nilikuwa napenda zile za bush ambazo ni true stories mfano Great Queen Seon Deok na A tree with Deep Roots.
Ukiangalia out of entertainment kiasi kuna vitu vingi tu unachukua kuliko studio fiction za Hollywood
Hizo za bush ndio ambazo Mimi Niko addicted nazo Sasa na zielewa Sana ila Sasa time ya kuzitazama ndio huwa inabana sababu ya u-busy
 
Jumong ndio ilikia series ya kwanza kuni prove wrong, wanaruka ruka tu na mashuka yao mpaka episode inaisha ni mizunguko tu sijui mwana wa mfalme katoka gogolio kaenda kupeleka umbea
Mkuu kweli kabisa kuna muvi huwa overrated sana. sijui watu huwa wanavutiwa na nini kwa wale wavaa mashuka.
 
Korean , Chinese , Japanese movies na series yaani bora niangalie marudio ya kampeni za za uchaguzi za chama cha fisiemu kuliko kuziangalia
 
Hizo za bush ndio ambazo Mimi Niko addicted nazo Sasa na zielewa Sana ila Sasa time ya kuzitazama ndio huwa inabana sababu ya u-busy

mimi nimejikuta tu nimepoteza interest ya series, hata nikiwa na muda bado nakuwa mzito kuangalia
 
Yule wa City hunter alikuwa anaitwa nani?
 
Sasa Mkuu mbona unachanganya madesa?! Hoja yako ni Lee Min Ho kuwa overrated lakini katika kuitetea hiyo hoja, unalinganisha series alizocheza na zingine! Ukitaka kueleweka usilinganishe series bali mlinganishe Lee Min Ho na Waigizaji wengine.
 
Sisi tunaangalia utunzi bora kwenye scripts

Ukitutengenezea script nzuri hatuna noma hata kama sterling akiwa kishoka sisi tutaangalia na kui rate
Ongeza SAUTI hadi volume ya mwisho.
 
Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
Hata Mimi napenda sana seris za ancient history Ila ziwe na mkono

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 

Series ni iris ilichukua mpaka tuzo
 
Huyu kaka nimzuri nyie mweee aje tu anichukue ntavumilia mateso yoteeee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…