Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Of course wengi tulimfaham kwenye CITY HUNTER na BOYS OVER FLOWERS na tangu hapo wadada wengi wamekuwa wakimuweka DP uko whatsap kuonesha namna ambavyo wanamkubali.

Sijui ila nadhani Lee Min Ho ndiye staa wa korea ambaye anafahamika kuliko wote hapa Tanzania. Sijafanya uchunguzi lakini naamini sitakuwa mbali na hapo.

Anyway hivi ndio vitu kumi ambavyo inawezekana huvifahamu kuhusiana na Lee Min Ho :



Hivi ni vitu 10 ambavyo ulikuwa
huvifahamu kuhusiana Lee Min Ho :


1) Ndoto yake ya utotoni ilikuwa ni kucheza mpira tena alikuwa vizuri sana to the point alichaguliwa mpaka academy iliyoko chini ya mchezaji Cha bum kun. Ndoto ilikufa baada ya kupata jeraha alipokuwa darasa la tano mapenzi yakahamia kwenye uigizaji.







2) Aliepuka ajali mara mbili. Ya kwanza 2016 akiwa na rafiki yake wa muda mrefu Jung Il Woo ambapo gari walilokuwa wamepanda liligongwa na gari lingine.

Ajali hii ilifanya Min Ho akae kwenye Coma kwa muda kidogo


Pia mwaka 2011 akiwa anashoot City Hunter alipata ajali akiwa kwenye Set.








3. Kama waigizaji wengi kutokea nchini Korea Lee Min Ho pia ni msomi. Ana degree ya Film and Arts kutokea kwenye chuo cha KONKUK huko Korea.










4. Kutokana na ajali mbili alizozipata mwaka 2006 na mwaka 2011 Lee Min Ho aliliambia jarida la ENTERTAINMENT WEEKLY kuwa yeye hutumia mguu moja tu akiwa anashoot scene za kupigana.

Hiyo ni kwa sababu mguu wake mwingine ulipata fracture baada ya ajali hizo mbili.








5. Lee Min ho anakiri kuwa yeye hakuwa mwanafunzi bora sana darasani. Alikuwa hapendi kusoma na kitu kilichomfanya awe maarufu shuleni ni muonekano wake.









6. Lee min ho hatumii kabisa pombe. Mara nyingi akiwa na marafiki zake kama JUNG IL WOO hupendelea kutembea sehemu za kunywa kahawa na migahawa ya chakula.











7. Lee Min Ho anasema mama yake ndiye mtu aliyemfanya yeye awe muigizaji maana kuna kipindi alikuwa anataka akate tamaa lakini kwa sababu mama yake alimpa moyo na faraja akaendelea kuigiza na kufika hapo alipofika. .









8. Alikuja kufaham kuwa amechaguliwa kucheza kwenye series ya "Boys over Flowers" kupitia gazeti baada ya kufanya usahili . Hakupigiwa simu wala nini na watayarishaji wa tamthiliya hiyo kujulishwa kuwa ameshinda nafasi ya kuigiza series hiyo.

Boys over flowers ndio ilifanya Min Ho apate ukubwa alionao sasa.










9. Kuna kipindi Lee Min Ho alikuwa kwenye mahusiano na Bae Suzy (mwanadada ambaye aliigiza Vagabond).

Chanzo cha kuachana inasemekana kwamba Min Ho mwenye miaka 32 alitaka kumuoa Bae suzy ambaye kipindi hicho alikuwa na miaka 22 kama sio 23. Baada ya Suzy kusema hayuko tayari ikabidi waachane.










10. Kwa namba kumi sina fact ila ila nilikuwa na swali moja tu je unadhani kuna staa wa korea kusini (ukiachana na BTS of course) ambaye watu wengi wanamfahamu kama Lee Min Ho?









Uzi tayari!







 

Crush wa wadada wengi Tanzania[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…