Unaacha kukumbuka tukuyu stars unatuletea hao leedsKutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
Tunaikumbuka mkuu, namuona mzee rio kwa mbaaaliKutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
Bolton, blackburn rovers yaani dahBolton Wanderers wameshindwa kurudi?
Kuna aston villa..barmigham(kama sijakosea herufi..chalton athleticsTunaikumbuka mkuu, namuona mzee rio kwa mbaaali
Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
acha kabisaa banaa.pindi madrid ikiwa kwenye form waliponea chupu chupu hapo.acha warud niliwakubali mnoo!.Ndio chanzo cha kuanzisha financial fair play, timu kama Portsmouth au pomp na Leeds zilikopa mikopo kwenye banks mbalimbali lakini walishindwa kulipa kwa wakati, mwisho wakafilisika, maana uwekezaji na ununuzi Wa wachezaji ilikuwa mkubwa kuliko faida, Leeds ya Harry Kewell, mark viduka, Lukas radebe, Ferdinand na wengine wengi, kweli kila nabii na muda wake
kwa huyu smirth walikua wakimwita hb wa leeds.vimwana vilikua vikimng'ang'ania mbaya.tatizo lake alikua na asira mno.Waliosimama kuanzia kushoto ni Mark Viduka, Danny Mills "kipara", Rio Ferdinand aliyevaa kitambaa cha unahodha na bila kumsahau beki Iane Harte bora wa kupiga mipira iliyokufa katika EPL baada ya zama za Denis Irwin.
Waliochuchumaa kuna kijana mtukutu Alan Smith, kuna mbabe Lee Bowyer, Oliver Dacourt na wa mwisho ni Harry Kewell.
Hapo kikosini wanakosekana Majemedari kama Lucas Radebe, Robbie Keane na wengineo.
Uwanja wao wa " ELLAND ROAD " ulikuwa mgumu sana kwa sisi Man Utd.
cc Guasa Amboni
Alikuwa Team captain mpaka Bafana Bafana!
Radebe ndio alicheza kama nyanda game hiyo huwezi amini nikivuta kumbukumbu pana mashabiki wengi wa timu nyingine walilia utadhani ni mashabiki wa leeds United jamaa walikuwa wagumu sana khasa wakiwa kwao. Mnafanya kumsahau mtu mmoja wa kuitwa Michael duberry kilikuwa kitasa cha nguvu roho mbaya mtu wa kazi.Namkumbuka Thony Yeboah, pia Lukas Radebe. Kuna game moja golkipa aliumia na benchi hakukuwa na kipa wa ziada kwa kuwa wote walikuwa injury, ikabidi mchezaji mmoja wa ndani achukue nafasi ya kipa. Simkumbuki maana ni muda sasa
Yes,kuna mashabiki wao walipigwa sana kule Uturuki i think kuna ambaye alifarikiHivi ni Leeds ndo walifanyiana msala na Garatasalay? Au ni Chelsea!
Mark Viduka,Dany Mills,Nigel Martyn,Rio Ferdinand,Ian HarteKutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?