Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
itakuwa against LiverpoolYes,kuna mashabiki wao walipigwa sana kule Uturuki i think kuna ambaye alifariki
Ni Leeds United sio Liverpoolitakuwa against Liverpool
Ukisikia askari anakufa na bunduki yake basi ndio hao leeds walishuka na utamu wao huyu mfaransa dacourt ilikuwa khabari nyingine huyo mtu.Kweli, post umenigusa,Leeds kweli imepotea niliipenda baada ya gunners.
kuna dogo alikuwa anaitwa harte bek 3 atakuwa huyo aliye kushoto kwa Rio fednand,hatari,kwa"direct kick" na guu la kushoto,hatari sana.Nadhani Bartez anamjua harte.
Mzee mwenzangu shukurani nyingi kwa mwaliko huyu rapa ana asili ya uchokozi na uchochezi mada zake nyingi hutufanya tujione kama matukio yametokea jana kumbe ni zaidi ya miongo miwili.Waliosimama kuanzia kushoto ni Mark Viduka, Danny Mills "kipara", Rio Ferdinand aliyevaa kitambaa cha unahodha na bila kumsahau beki Iane Harte bora wa kupiga mipira iliyokufa katika EPL baada ya zama za Denis Irwin.
Waliochuchumaa kuna kijana mtukutu Alan Smith, kuna mbabe Lee Bowyer, Oliver Dacourt na wa mwisho ni Harry Kewell.
Hapo kikosini wanakosekana Majemedari kama Lucas Radebe, Robbie Keane na wengineo.
Uwanja wao wa " ELLAND ROAD " ulikuwa mgumu sana kwa sisi Man Utd.
cc Guasa Amboni
Huwa anatukumbusha siku za nyuma soka lilipokuwa soka!Mzee mwenzangu shukurani nyingi kwa mwaliko huyu rapa ana asili ya uchokozi na uchochezi mada zake nyingi hutufanya tujione kama matukio yametokea jana kumbe ni zaidi ya miongo miwili.
Fuatilia vyema historia yao mara baada ya kushukaUnamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
pia walikuwamo akina ivan campo, anelka, hierroWatoto wa Reebok wamechoka sana, wapo daraja LA pili enzi hizo jay jay okocha, jaidi, youri djokuouf, juss janskilenn, Kevin Davis, Fernando hierro, Nolan,
Ni kweli kabsa hiyo ligi ni ngumu mnoUnamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
hahaha unawanyanyapaa mkuuHuu uzi wetu wahenga....
Naona walioanza kuangalia mpira miaka ya 2007 wapo kimya.
Daaah kweli man ...yani anayeongoza league anaweza kukalishwa na kilaza wa chiniUnamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
bado wanasua suahawa jamaaa na nottighman forest wacha kabisa unanikumbusha mbali mkuu...
ila naona msimu huu kwenye champion wanajitutumua msimu ujao tunaweza kuwa nao pale EPL
maendeleo yao yapoje mpaka sasa mkuu?hawa jamaaa na nottighman forest wacha kabisa unanikumbusha mbali mkuu...
ila naona msimu huu kwenye champion wanajitutumua msimu ujao tunaweza kuwa nao pale EPL
Naona wamerudi tena chini zaidi mwenendo wao ni kama Arsenal tu wanashinda game moja wanapoteza mechi 3......maendeleo yao yapoje mpaka sasa mkuu?
ongeza na Fulham, Portsmouth pamoja na Wigan.Bolton, blackburn rovers yaani dah
Radebe.Hii aliichezea Lucas Ladebe baada ya African Cup of Nations SA 1996.....
Hawa walikuwa wanavaa jezi nyeupeee hivi. Leeds United kitambo