sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
- Thread starter
- #21
Ha ha ha shem Passion Lady.. Kwani Zahra White anataka kuolewa..? Namjua mie hana hata muda huo.. Kwanza wanaume wanamuogopa..
wanawake wazuri wazuri wameolewaaa
wamebaki manungaembe wanahangaikaaaa!!
mi siongezi hahaaa!!
​bora ujitoe maana huwezi vumilia msuto!!Ha ha ha ha shem Passion Lady mie simo sasa lol..
Ha ha ha ha.. Ninasikia wanakujaga na ngoma ya kigoto kwenye msuto..