Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mwinyi ndio mwanasiasa mkongwe kwa sasa kuliko wote walio hai. Hataki kuunganishwa na siasa za kihuni wanazofanya wastaafu, siasa za dharau na fitina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi amesifia ununuzi wa ndege bila kufuata utaratibu Bunge halijui pesa zilikotoka nkRais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Amesema ukweli kabisa kwa miaka yote hiyo hakuna aliyejenga kwao kama huyu,hakuna aliyenunua madege mengi bila hata mtu yoyote kujua pesa imetoka wapi, hakuna aliyekandamiza demokrasia kama huyu na mengine mengi ya hovyoRais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!