Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Magufuli is dead.

Hawezi tena kudhuru mtu au kumnufaisha.

Soon utaona axis of power ikimzunguuka mama kikamilifu na hapo kidogokidogo utaona raia wanaachana na mambo ya Magufuli.

Magufuli will be phased out very soon, hasa mama akileta Neema
Mimi Nataka pesa iwe full kitaa,nikifanya mishe kidogo tu niwe napata mshiko.
 
Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...

Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
With time haya mambo yataisha. Mpaka kufikia 2024 Samia atakuwa ashaweka watu wake kote na kutakuwa wamebaki wabunge wa Magu tu ambao nao wengi hawatapita kura za maoni 2025.
 
Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...

Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
 
Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...

Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Ashukuriwe mnyaazi Mungu kwa kutuondolea lile dubwana Ikulu, maana kwa nguvu za kawaida za kibinadamu asingetoka yule; Alipanga kufia ikulu, bahati nzuri kafa mapema, miezi 5 tu ya awamu ya 2 chalii
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
JPM wako ashakufa, anaoza ardhini now, and kauliwa na Corona, ugonjwa alioudharau sana. Hatorudi tena, na hamna jambo jema lolote aliloacha zaidi ya wizi na kuwapa vyeo ndugu, marafiki na watu wa kabila lake! Alikuwa Rais wa hovyo kweli kweli
 
Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...

Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Ni ukweli usiopingika kua jiwe hatukonae
Kwaio hatuwezi kuishi matendo ya jiwe ndan ya Mama Samia,
Samahani kwa hilo jiwe.tupo awamu ya sita.Mama kasema
 
Magufuli hawezi kukumbukwa kwa kipindi cha wiki tatu au miaka mitatu au awamu moja ya utawala wowote kuanzia kuondoka kwake hapa duniani. Mambo aliyofanya ni yatapata majibu au hukumu baada ya at least 30 yrs.
 
Kuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
Yaan tunaenda mdo mdo...

Ila tulisema jaman ni kawaida binadam kuwa na huruma hasa misiba na sisi wabongo. Yaan ukiambiwa ule umati uliokua unalia vile leo kumepoa hivi basi naamini nafasi ya unafiki duniani tupewe nyuma ya mmarekani[emoji23]
 
Back
Top Bottom