Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Eti unaona huruma!..

Kuna watz wajinga,
. Badala ya uwaonee huruma ukoo wako wanaliwa na umaskini wewe unamuonea huruma mtu anaekula milioni 10 per month?
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Haikuhitaji nguvu kubwa kumnadi kwani sisi Waswahili tunasemma "kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza." Mwacheni apate stahiki yake bila maguvu
 
Dada mimi sina ushabiki wa Vyama lakini huyu mzee alikuwa katili sana.
Waliomfurahia ni wale waliolelewa kwenye familia za kikatili ,,yaani maisha ya ukatili waliyazoea.

Avater yako inanifanya niwe mpole kwako.
Oneday tuonane au unasemaje dada?
Huo unaitwa mtongozo
 
Mv Liemba ya lake Tanganyika, ilijengwa na wakoloni(wazalendo) wa kijerumani mwanzoni mwa karne iliyopita. Mwaka 1960 hapa Dar, palikuwa mabasi ya ghorofa (Double deck bus) kama jijini London. Shule za Jangwani na Azania na vyanzo vya umeme Pangani falls na Nyumba ya Mungu vilikuwepo tangu kabla ya vita kuu ya pili
Karibu tena
Kwa hiyo, hoja yako ni nini hapo??.In short unataka kusemaje??.
 
These are true African legends...sio hiki kituko cha sasa....
JamiiForums-1638243474.jpg
 
Legacy ya Mwendazake kamwe haiwezi potea kama ilivyo ya Hitla, Idd Amini ma wengine wengi
 
Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.

Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.

Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.

Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya
 
Wachawi na washirikiana hawawezi kuiona legacy Na utumishi uliotukuka wa nabii Yohana mbatizaji. Maana hawa wachawi ndio walimuua Yesu kristo. Watubu sasa maana watakufa kifo kibaya sana.
 
Back
Top Bottom