Dragoon natumai umeamka salama. Naomba unieleweshe. Petition ni nini? Judge akisema kesi hii ingelifunguliwa by way of petition anakuwa ana maana gani. Kuna tofauti gani kati ya mtu kufungua shauri by petition, by plaint and other methods of instituting a suit.............................Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
angalia kesi hii kuwa ilibidi ifunguliwe by petition. Kosa liko wapi walipofungua shauri hili.
@sagaciR kama umepata concept yangu nisaidie... looks you are good also