Nadhani tunaelewa anachokifanya huyu mwanasheria anatumia kampuni yake ya uwakili na anasaini document kwa saini yake na mahakamani anahudhuria je hapo sheria inasemaje?
Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.Mvamizi kamtafuta wakili kwa shauri hili hili
Mkuu, ni bora ukaziweka hizo policy in question hapa, then discussion itafuata..Jamani Nisaidieni hili swali linanisumbua sanaa 'critically discusses broadcasting and information policy of 1972,1993,and 2003.please jamani Nisaidieni sana please and please!!
Asante sana mkuu kwa kanzi nzuri.Naomba utuwekee na vitabu vya administrative law.
mimi naomba tu mnisaidie hizo information and broadcasting policy of 1972,1993,and2003 please jamani msaada!!Mkuu, ni bora ukaziweka hizo policy in question hapa, then discussion itafuata..
Mkuu ni taratibu zipi za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kwa mwanasheria wa aina hiyo? Kwa halmashauri, wizara ya serikali za mitaa au sheria na katiba ili kuthibiti utendaji mbovu wa watendaji wa aina hiyo.Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.
Taratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.Mkuu ni taratibu zipi za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kwa mwanasheria wa aina hiyo? Kwa halmashauri, wizara ya serikali za mitaa au sheria na katiba ili kuthibiti utendaji mbovu wa watendaji wa aina hiyo.