Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Nadhani tunaelewa anachokifanya huyu mwanasheria anatumia kampuni yake ya uwakili na anasaini document kwa saini yake na mahakamani anahudhuria je hapo sheria inasemaje?
Mvamizi kamtafuta wakili kwa shauri hili hili
Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.
 
Leo ninawaletea Jukwaani maamuzi ya Mahakama ya Rufaa Tazania yaliyoamuliwa hivi karibuni (mwezi wa October 2018). Tuanze na hizi.
Karibuni
 
Attachments

Maamuzi mengine ya Mahakama ya Rufaa mwezi uliopita (October 2018)
 
Attachments

October 2018 CAT decisions zinaendelea
 
Attachments

Oct. 2018 CAT decisions......
 
Attachments

Some more recent CAT decisions (Oct. 2018)
 
Attachments

For the love of these forums, here are some more decisions decided by the Court of Appeal of Tanzania for the month October 2018.
 
Attachments

More CAT decisions for the month Oct. 2018.
 
Attachments

Oct. 2018 CAT decisions...
 
Attachments

Oct, 2018 Court of Appeal of Tanzania
 
Attachments

Jamani Nisaidieni hili swali linanisumbua sanaa 'critically discusses broadcasting and information policy of 1972,1993,and 2003.please jamani Nisaidieni sana please and please!!
 
Oct. 2018
 
Attachments

Jamani Nisaidieni hili swali linanisumbua sanaa 'critically discusses broadcasting and information policy of 1972,1993,and 2003.please jamani Nisaidieni sana please and please!!
Mkuu, ni bora ukaziweka hizo policy in question hapa, then discussion itafuata..
 
kwa maamuzi ya Mahakama ya rufaa kwa mwezi wa 10 mwaka huu tunaendelea ha hizi...
 
Attachments

Tumalizie na hizi - kwa maamuzi ya mwezi October 2018.
 
Attachments

Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.
Mkuu ni taratibu zipi za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kwa mwanasheria wa aina hiyo? Kwa halmashauri, wizara ya serikali za mitaa au sheria na katiba ili kuthibiti utendaji mbovu wa watendaji wa aina hiyo.
 
Taratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.
Pia waweza mshtaki kwa mwajiri mkuu - Katibu mkuu Utumishi.
Ukiwa wewe ni mwanasheria ni vizuri ukapeleka malalamiko kwa hakimu au jaji wa kesi husika, au kwa msajili wa mahakama ambako ndiko atashughulikiwa kitaaluma.
 
Please mkuu unaweza nisaidia hizo information and broadcasting policy za 1993,1972, na 2003.kama zipo maana nimeona mwanzoni mmeonyesha zipo mkuu!!
 
Back
Top Bottom