Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Nahitaji kupata SHERIA ya mahakama za mahakimu tafadhali. Mwenye softy copy msaada
Naongea kila siku hakuna Msomi aliye active humu

Nenda Telegram kuna kila kitu
 
BADO KUNA COURT OF APPEAL, NGOJA TUONE KAMA CRDB WATA APPEAL
 
Nimekuja kuona wanasheria ni wachoyo..............kuna anayeweza kutoa msaada wa mawazo hapa JF. Alikuwa mmoja tu huyu Dragoon ndiye aliyekuwa active kutoa msaada wa mawazo. alinipa mawazo hapa nikayatumia nikashinda kesi bila wakili
Huu uzi bila Dragoon hakuna kitu

Huo ndo ukwel ndo maana huwa nasisitiza watu watumie telegram magroup ya sheria kule kidogo yapo active
 
Uhmm hatar
 
Mkuu mayenga baadhi ya vitabu vya Land Law hivi hapa, kwa anayetaka kitabu cha 'the Law of Real Property' cha R. Megarry na Wade ani pm nimtumie kwa email
Kuna mtu ana hiki kitabu kilichotajwa hapo au kuna ambaye ana Email ya Dragoon anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…