Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Mkuu kwa uelewa wangu Ukisoma limitations Act Suit za mortgage especially on Item 19 na 18 of the part one of first Schedule limitation time ni 12 years....Selikavu nisaiie hili kma utaliweza, seems wewe ni wakili/mwanasheria
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plentiful )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass
Nina maswali kadhaa
Je watoto wameanza lini kuingia kwenye shamba???
Je mzee wao alivyodefault kulipa kuna hatua zilichukuliwa ili kuamisha umiliki labda makubaliano yalikuwaje...
Kwa issue ya Adverse possessor angalia tangu wameanza kuingia kwenye shamba kuchukua mazao(Trespassing) wamemaliza
miaka 12 nadhani unakumbuka kesi ya **** Vs **** ilivyokuwa inaweza kukusaidia
Kwa hiyo simply inategemeana na makubaliano yao na hatua zilizochukuliwa baada ya kushindwa kulipa
Pia kumbuka once mortgage always mortgage
Wakilipa deni na faini wanaludishiwa hiyo