Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Selikavu nisaiie hili kma utaliweza, seems wewe ni wakili/mwanasheria
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plentiful )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass
Mkuu kwa uelewa wangu Ukisoma limitations Act Suit za mortgage especially on Item 19 na 18 of the part one of first Schedule limitation time ni 12 years....

Nina maswali kadhaa
Je watoto wameanza lini kuingia kwenye shamba???

Je mzee wao alivyodefault kulipa kuna hatua zilichukuliwa ili kuamisha umiliki labda makubaliano yalikuwaje...

Kwa issue ya Adverse possessor angalia tangu wameanza kuingia kwenye shamba kuchukua mazao(Trespassing) wamemaliza
miaka 12 nadhani unakumbuka kesi ya **** Vs **** ilivyokuwa inaweza kukusaidia

Kwa hiyo simply inategemeana na makubaliano yao na hatua zilizochukuliwa baada ya kushindwa kulipa

Pia kumbuka once mortgage always mortgage

Wakilipa deni na faini wanaludishiwa hiyo
 
Mkuu kwa uelewa wangu Ukisoma limitations Act Suit za mortgage especially on Item 19 na 18 of the part one of first Schedule limitation time ni 12 years....

Nina maswali kadhaa
Je watoto wameanza lini kuingia kwenye shamba???

Je mzee wao alivyodefault kulipa kuna hatua zilichukuliwa ili kuamisha umiliki labda makubaliano yalikuwaje...

Kwa issue ya Adverse possessor angalia tangu wameanza kuingia kwenye shamba kuchukua mazao(Trespassing) wamemaliza
miaka 12 nadhani unakumbuka kesi ya ** Vs ** ilivyokuwa inaweza kukusaidia

Kwa hiyo simply inategemeana na makubaliano yao na hatua zilizochukuliwa baada ya kushindwa kulipa

Pia kumbuka once mortgage always mortgage

Wakilipa deni na faini wanaludishiwa hiyo
1.Wameanza kuingia Mwaka huu ........
2. Hapana, the shamba has remained in our hands todate,
 
Moderator nimeweka jina la kesi sio matusi hili ni jukwaa la sheria
Screenshot_20231124-112726~2.png
 
1.Wameanza kuingia Mwaka huu ........
2. Hapana, the shamba has remained in our hands todate,
Kwa upande wangu hawana hadhi ya kuwa adverse possessor maana still upo ndani ya muda wana mwaka mmoja tuu miaka 12 haipo...

Kuhusu limitations of time kwa miaka 50
Kulikuwa hakuna Cause of action kwa hiyo muda wa limitations haukuanza kuhesabiwa muda umeanza kuhesabiwa siku hao watoto wameingia kwenye shamba
Refer hii case
Screenshot_20231124-112726~2.png

kwa hiyo kwa ushauri wangu nenda kafungue kesi kudai ardhi na trespassing

Nitashare na watu wengine nitakuletea majibu yao kama nitapata cha tofauti kwa wabobevu wa maswala ya Ardhi

Kingine kuwa makini na sheria ambazo utazitumia kwenye kesi
 
Jamani Wana jukwaa Pole na majukumu Ila naomba kuuriza kwa mwenye kuelewa kisheri,
Mimi nimepanga sehemu na Huwa nalipa miezi sita Kama mkataba unavyosema ambayo Huwa nalipa 360k na sijawai kucherewa kuliba na Kodi ya mwisho nililipa kabla ya mda, lakin cha ajabu Kodi imeisha Leo tarehe 15/12/2023, na sikuwa vizuri kiuchumi ko nkaongea na mwenye nyumba kuwa nmekwama si anisubli mpaka tarehe 30/12/2023 c kaniwekea kufuri hii imekaaje kisheria
 
Pole sana,cha muhimu mtafutie tu hela yake umpe,kama inawezekana hata nusu,maana inaonekana mwenye nyumba ni mtata au siyo mstaarabu ,japo kuwa inawezekana kakuona mzinguaji
 
Jamani Wana jukwaa Pole na majukumu Ila naomba kuuriza kwa mwenye kuelewa kisheri,
Mimi nimepanga sehemu na Huwa nalipa miezi sita Kama mkataba unavyosema ambayo Huwa nalipa 360k na sijawai kucherewa kuliba na Kodi ya mwisho nililipa kabla ya mda, lakin cha ajabu Kodi imeisha Leo tarehe 15/12/2023, na sikuwa vizuri kiuchumi ko nkaongea na mwenye nyumba kuwa nmekwama si anisubli mpaka tarehe 30/12/2023 c kaniwekea kufuri hii imekaaje kisheria
Hana uungwana. Kisheria upo njee ya makubaliano
 
Jamani Wana jukwaa Pole na majukumu Ila naomba kuuriza kwa mwenye kuelewa kisheri,
Mimi nimepanga sehemu na Huwa nalipa miezi sita Kama mkataba unavyosema ambayo Huwa nalipa 360k na sijawai kucherewa kuliba na Kodi ya mwisho nililipa kabla ya mda, lakin cha ajabu Kodi imeisha Leo tarehe 15/12/2023, na sikuwa vizuri kiuchumi ko nkaongea na mwenye nyumba kuwa nmekwama si anisubli mpaka tarehe 30/12/2023 c kaniwekea kufuri hii imekaaje kisheria
Hama tu apo
 
Nahitaji kupata SHERIA ya mahakama za mahakimu tafadhali. Mwenye softy copy msaada
 
Hii kesi ya crdb ya unfair termination
Na kwamba kisa cha hii kesi ni employee alikuwa haji kazini jumamosi kwa sababu ya kuwa msabato,
kwahiyo baada ya kukosa jumamosi kazaa akafukuzwa kazi.
Kwenye kesi muajiriwa akatumia kifungu cha freedom of religion na bank inataka kumkatalia dina philipo akashinda.
 
Attachments

Back
Top Bottom