Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Mambo vipi, nina swali hapa la sheria, naomba msaada tafadhali.. Mfano baba alifariki akiwa na mke na watoto wawili ndani ya ndoa kabisa... na hakuacha wosia kisha baada ya kifo wakaja watoto wengine wawili wa nje ya ndoa.. na mahakama ikasema wagaiwe mali pia.. je kuna swala la percent labda wa nje ni percentage flani na wa ndoani ikiwemo mjane ni percentage flani... Nashukuru
 
hakuna , msimaizi wa mirathi ataamua kwa haki na busara.

Watoto wa nje kama alikuwa hajawataja wakafahamika kabla ya kufa, imekula kwao
 
hakuna , msimaizi wa mirathi ataamua kwa haki na busara.

Watoto wa nje kama alikuwa hajawataja wakafahamika kabla ya kufa, imekula kwa
mfano ukoo ulifanya uhuni wakasema wanawajua na mahakama ndo ikaamua ivo wapewe mali pia... wa ndani ya ndoa ndio wataangaliwa zaidi au inapaswa kuwa pasu kwa pasu na hao wa nje ..??
 
Asante kwa topic nzuri mie naomba black dictionary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…