Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Is it right to use Section35(3) of the Education Act of tz on the offence of impregnating a school girl?
Hii Nimeiona Kwenye charge sheet Ambayo imefiliwa 2017 Lakini kosa limetokea 2015.....
Explanation plz..
 
Dragoon, nina kesi nzito nahitaji huduma ya msaada wa kisheria kwako. Tafadhali naomba Contact PM nipate kuwasiliana na ww
 
Ni yale makosa dhidi ya umma, (yaan yanaumiza jamii nzima ama umma wote) na yamekatazwa na sheria zlilozotungwa na bunge. Mfano: wizi, ubakaji, kutia mimba mwanafunzi, kuua, kujamiiana kinyume na maumbile, kujamiiana na ndgu wa damu moja, kutofanya usafi siku maalum ya usafi (i.e kila jumamosi ya mwsho wa mwezi) n.k ni mengi mno.
Mmi naomba mniambie hivi makosa ya jinai ni yapi?

Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Dear Mtaalam,

Nashukuru kwa kazi yako kubwa unayofanya kwa kutupa sisi wanasheria references. Je, unaweza kunitumia ref. ya kesi hii?

Laurian Rugaimukamu vs IGP and Attorney General. Civil Appeal No. 13 of 1999.

Akhsante sana.

Jonathan
 
Modern Land Law -D. Martin
Habari yako Dragoon! plz naomba kama una cases za EACJ zinazo zungumzia it's own jurisdiction (what can determine and what can't determine),, kàma una sample of documents for initiating proceedings in EACJ and AFRICAN COURT OF JUSTICE AND HUMAN RIGHTS
 
do this.....
 
Attachments

Back
Top Bottom