Ulitaka awe Maskini mrefu kama wewe?Rummy tajiri mfupi
wala usihuzunike, malengo ya kiba 2015 yalitimia kwa ngoma mbili tu, na mwaka huu anauanza na #LUPELA, most awaited song kama ilivyokuwa chekecha, binadam hawezi funga riziki ya mtu ataichelewesha tu, ndo maana hata kiba hapati tabu nao ila samtyme yanamzidia anaamua aongee tuduh nimeelewa so sad!
Apologists at work.
Ali kiba yupo kama Ana jilasi na diamond. Ni mtu wa vijineno. Mazingira yanamweka hivyo, hajawahi kulalamika kuwindwa na wauza sembe popote pale..
Hata kama kuna wauza sembe wana mpiga jeki diamond.
Vipi wasanii wengine majority watasemaje na wao.
Mbona na yeye yupo team wema? Je Ana iamini team wema iliyohakikisha diamond anakosa tuzo?
Mbona diamond haongei sana...
Tuwe wakweli tu, diamond yupo juu sana kimuziki kuliko Ali kiba.
Hawalingani. Tuzo haitoshi kua bora kimuziki. Wako wasanii nchini bora sana hawana tuZo.
Nachukulia huu ni mkakati wa Ali kiba kupata huruma zA mashabiki. Lakini kazi zA diamond ni bora.
Hatukatai kua na maadui, lakini wako watu wame rise above hate.
Ali kiba bado sana kufikia viwango vya diamond.
Mh! Kazi IPOKinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.
Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.
Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.
Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.
Ova
Mzee povu la nini tenaUlitaka awe Maskini mrefu kama wewe?
Unamuonea kijana ..Mzee povu la nini tena
watakuwa Mdogo Felali na Bibi Leta
Acha kudanganyika na wewe kaka,nisubiri kule.Mkuu uko vizuri sana, ahsante sana
dada mbona kimya vp umetumbukia chooni auAcha kudanganyika na wewe kaka,nisubiri kule.
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.
Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.
Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.
Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.
Ova
lakini mkuu hapa umeshamwaga mchele hadharani Makazi ya Alikiba , hofu yangu hao wauza sembe umewarahisishia kazi
Ha ha ha haaaaaa! Kwa swali lako kuna kitu umenikumbusha mkuu. Nakumbuka Dec 2014 nilimjibu mtu anaitwa Mingoi kuhusu Lowassa, yeye alikuwa akibisha kwenye uzi fulani kwamba Lowassa ahami CCM. Sasa hiyo Dec mwaka juzi nilimjibu kuwa atahama baada ya CCM kumtosa, yeye na wenzake wakabisha na kusubiri hadi July 2015.Mkuu hizi sio bla bla kweli?
Nicheki private.
Nicheki private.
Very true, jamaa wanajitahidi sana kuchokonoa watu ili wagombane. Goodluck jamaa wanajitambua, hugoma kujibu maswali ya kichokozi, Bid Up Kiba na Mondiwaandishi ndo viazi ndo huwa wanamuuliza kuhusu diamond, nayeye lazima awajibu
Hakufanya nao biashara yoyote, ila walitaka wafanye naye lakini aliwakatalia. Na kwa bahati mbaya hakuwajibiana vizuri na kumwekea visasi.
Kwa historia ya mkasa wake amekuwa hawaamini hao askari, kwa maana nyingine hategemei kama wanaweza kumpa msaada wa maana.
Nikwambie tu, mmoja wa walio kwenye hilo genge amekijenga kituo cha polisi kwa pesa zake.
Ova
NahisiMy observation so far
1.Babu Tale na Saidi Fella ni wauza Sembe/ wanatumiwa na wauza Sembe kumuangamiza Kiba kimuziki
2.Ali Kiba alishafanya hizo deal za sembe now amewageuka
3.Hao wauza Sembe wameshajaribu kumuua Kiba mara kadhaa