Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

duh nimeelewa so sad!
wala usihuzunike, malengo ya kiba 2015 yalitimia kwa ngoma mbili tu, na mwaka huu anauanza na #LUPELA, most awaited song kama ilivyokuwa chekecha, binadam hawezi funga riziki ya mtu ataichelewesha tu, ndo maana hata kiba hapati tabu nao ila samtyme yanamzidia anaamua aongee tu
 
Apologists at work.
Ali kiba yupo kama Ana jilasi na diamond. Ni mtu wa vijineno. Mazingira yanamweka hivyo, hajawahi kulalamika kuwindwa na wauza sembe popote pale..

Hata kama kuna wauza sembe wana mpiga jeki diamond.
Vipi wasanii wengine majority watasemaje na wao.
Mbona na yeye yupo team wema? Je Ana iamini team wema iliyohakikisha diamond anakosa tuzo?
Mbona diamond haongei sana...
Tuwe wakweli tu, diamond yupo juu sana kimuziki kuliko Ali kiba.

Hawalingani. Tuzo haitoshi kua bora kimuziki. Wako wasanii nchini bora sana hawana tuZo.
Nachukulia huu ni mkakati wa Ali kiba kupata huruma zA mashabiki. Lakini kazi zA diamond ni bora.
Hatukatai kua na maadui, lakini wako watu wame rise above hate.
Ali kiba bado sana kufikia viwango vya diamond.

ni kweli diamond yupo juu sana kwasasa lakini hiyo haitunyimi fulsa ya kujadili changamoto za alikiba, why video zake hazipigwi huko nje ya nchi? usiniambie hazina quality wakati zipo kibao tu zinapigwa huko nje tena za low quality......tena alitoa video kwa godfadher kabisa lakini bado haikupata airtime why?
 
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova
Mh! Kazi IPO
 
lakini mkuu hapa umeshamwaga mchele hadharani Makazi ya Alikiba , hofu yangu hao wauza sembe umewarahisishia kazi
 
lakini mkuu hapa umeshamwaga mchele hadharani Makazi ya Alikiba , hofu yangu hao wauza sembe umewarahisishia kazi

Kwa pale sio kazi rahisi kutokna na unyeti wa maeneo yale. Na nadhani ndio maana akaamua kuishi pale.

Ova
 
Mkuu hizi sio bla bla kweli?
Ha ha ha haaaaaa! Kwa swali lako kuna kitu umenikumbusha mkuu. Nakumbuka Dec 2014 nilimjibu mtu anaitwa Mingoi kuhusu Lowassa, yeye alikuwa akibisha kwenye uzi fulani kwamba Lowassa ahami CCM. Sasa hiyo Dec mwaka juzi nilimjibu kuwa atahama baada ya CCM kumtosa, yeye na wenzake wakabisha na kusubiri hadi July 2015.
Jamani, ni kweli sote tuko humu jamvini lakini katika uhalisia wa maisha kila mmoja yuko kwenye kona yake na namna anavyoweza kupata taarifa ya mambo fulani na kuamua tu kuwajulisha wenzake bure kabisa. Fikiria katika lile tukio la ajali ya Alikiba huko Morogoro, jiulize ilikuwaje akagoma kusema chochote kuhusu ajali? Kwanini gari liliondolewa haraka haraka eneo la tukio?
Jiulize, Alikiba alivamiwa nyumbani kwake kwa silaha nzito na wavamizi walikaa nyumbani kwake kwa zaidi ya dakika kumi na walikuwa wakiihoji familia aliko Alikiba, polisi walipigiwa simu na Abdul lakini hawakwenda hadi Abdul aliposimamisha njia gari la polisi ambalo lilikuwa likienda eneo la tukio kama linaenda harusini.
Hili ni suala la wakati tu, ukifika kila mmoja atajua na kukumbuka kwamba aliwahi kusikia toka humu. Hata Betty alikuwa akilalamika sana Twitter juu ya kusakamwa na hili genge, watu wakapuuza. Lakini alipookotwa mtaroni akiwa hajitambui na baadaye kufariki ndio watu wakasema tulidhani utani. Na waliokuwa wakimsakama wanaendelea kupeta tu.

Ova
 
Naona humtakii Mema Ali K wewe maana beef ndio tegemeo lake kubwa
 
Hata mimi niliona hiyo, Sporal alikuwaa anamlazimisha Kiba amzungumzie MONDI, jamaa akachomoa. Akauliza, Mondi amakujaje hapa?
 
Hata mimi niliona hiyo, Sporal alikuwaa anamlazimisha Kiba amzungumzie MONDI, jamaa akachomoa. Akauliza, Mondi amakujaje hapa?
waandishi ndo viazi ndo huwa wanamuuliza kuhusu diamond, nayeye lazima awajibu
Very true, jamaa wanajitahidi sana kuchokonoa watu ili wagombane. Goodluck jamaa wanajitambua, hugoma kujibu maswali ya kichokozi, Bid Up Kiba na Mondi
 
Hakufanya nao biashara yoyote, ila walitaka wafanye naye lakini aliwakatalia. Na kwa bahati mbaya hakuwajibiana vizuri na kumwekea visasi.
Kwa historia ya mkasa wake amekuwa hawaamini hao askari, kwa maana nyingine hategemei kama wanaweza kumpa msaada wa maana.
Nikwambie tu, mmoja wa walio kwenye hilo genge amekijenga kituo cha polisi kwa pesa zake.

Ova

Acha kudanganya watu humu....

Kwa Tanzania ilivyo watu wakikutaka roho yako haipiti masaa matatu
 
My observation so far
1.Babu Tale na Saidi Fella ni wauza Sembe/ wanatumiwa na wauza Sembe kumuangamiza Kiba kimuziki

2.Ali Kiba alishafanya hizo deal za sembe now amewageuka

3.Hao wauza Sembe wameshajaribu kumuua Kiba mara kadhaa
 
Nahisi

Haupo mbali sana na ukweli
 
Next Week New Hit. Meneja kasema
b5b7993a09d9d0bec79b943c975be564.jpg
 
Back
Top Bottom