mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Kwani lazima?
Mumuache Diamond na maisha yake. Kunawasanii wengi hakutanishwe nao. Bila Diamond
Leo umepata ujasiri bora umalizie tu kumwaga ubuyu tusome sie.
Mumuache Diamond na maisha yake. Kunawasanii wengi hakutanishwe nao. Bila Diamond
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.
Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.
Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.
Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.
Ova
Leo umepata ujasiri bora umalizie tu kumwaga ubuyu tusome sie.