Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

Kwani lazima?

Mumuache Diamond na maisha yake. Kunawasanii wengi hakutanishwe nao. Bila Diamond
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova

Leo umepata ujasiri bora umalizie tu kumwaga ubuyu tusome sie.
 
Huyu jamaa angepiga zigo extended remix na kina Wizkid,Sarkodie,Ice price,khuli chana,aka,redsan,navio ingekuwa balaa.
 
kweli aisee, hivi remix ya wimbo mwisho mara ngapi?
 
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila kuchwapo.

Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.

Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.

Shabiki wa bongofleva Tanzania
WEWE UMEKOSA CHA KUANDIKA HUMU, NYIE KAMA MNAGOMBANA KWASABABU YA WATU AMBAO WAO WENYEWE NI MARAFIKI!!! HUO SI UPUNGUANI KWELI? HEMBU MKAPIGE KAZI HUKO COZ NYIE NI MAJIPU YA KUTUMBUA COZ MMMEJAAA USENGENYAJI NA UMBEA TU
 
Alolianzisha bifu ndo awasuluishee na sio AY has a yule alofanya Chibu azomewe kipindi Cha TIGO concert
 
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova
Story za Vijiwe vya kahawa, Kiba alisimama Muziki kwa kulewa sifa baada Tu ya colabo na R Kelly akaona amemaliza, sasa anatumia nguvu nyingi kurudi, wakati alitakiwa awe mbali na Diamond angekua anaomba ushauri kwake sasa! Alilewa sifa mwenyewe then akaanza kutafuta sababu kwa issue za Unga!
 
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova
Kuna wajinga wataamini hizi fix.
 
It doesn't make any sense . Kiba muziki wake umemshinda mwenyewe acha story za kusadikika sio kila mtu mtoto umu.
 
Mmeona fitina zenu zimegonga mwamba ndo mumtupie mzigo AY Shame on you
 
sasa mkuu tufanyaje hizi kambi mbili za Zena na Betina ili zipatane na hawa wasanii wetu wakawa marafiki kama Ay na Mwana Fa?
 
WEWE UMEKOSA CHA KUANDIKA HUMU, NYIE KAMA MNAGOMBANA KWASABABU YA WATU AMBAO WAO WENYEWE NI MARAFIKI!!! HUO SI UPUNGUANI KWELI? HEMBU MKAPIGE KAZI HUKO COZ NYIE NI MAJIPU YA KUTUMBUA COZ MMMEJAAA USENGENYAJI NA UMBEA TU

Asante Kwa kuja , tangu ujue msamiati wa jipu basi hatunywi maji
 
Next Week New Hit. Meneja kasema
b5b7993a09d9d0bec79b943c975be564.jpg

sijaelewa hii twit ilikuwa inamaanisha nini
 
Back
Top Bottom