Legend AY: Tunaomba uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili kuokoa ugomvi wa mashabiki

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
4,473
Reaction score
4,666
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila kuchwapo.

Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.

Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.

Shabiki wa bongofleva Tanzania
 
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila kuchwapo. Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.

Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.

Shabiki wa bongofleva Tanzania
HILI BEEF LINA FAIDA KUBWA KWA ALIKIBA.TANGU AMERUDI NA BEEF AMEPIGA HATUA KUBWA SANA.UKIJUMLISHA NA TEAM WEMA KWA SABABU YA BEEF ZA MAPENZI ANAKAA POA SANA.HIVYO HATAKUBALI.
 
hapo umeongelea faida ya bifu, vipi matusi anayopata yeye kwa mashabiki wa upande wa pili familia yake inajisikiaje?
 
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.

Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib.

Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.

Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.

Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz.

Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova
 
Kinachoonekana ni kwamba wengi hamjaelewa kuwa Alikiba hana ugomvi na Nassib, na hata wanapokutana wanazungumza kama kawaida. Ila Alikiba ana ugomvi wa muda mrefu na kundi la wauza sembe, ambao kama mnakumbuka walitaka kumuua walipomchomekea wakati anatoka Mbeya na gari lake kupoteza mwelekeo.
Kwa uwezo wa Mungu alitoka salama, ila dancers wake wawili waliumia na kulazwa. Kuna rafu nyingi alichezewa na genge hilo ambalo kwa sasa limejipachika kwa Nassib. Na hao ndio sababu ya Alikiba kuamua kuachana na masuala ya muziki na kujikita kwenye biashara zake. Na hata hivi juzi juzi tu hapa mliona walimfuata anakoishi hadi akaamua kuhama, na juzi kazi walivamia Kariakoo usiku hawakumkuta.
Wasichokijua Alikiba anaishi Upanga jirani na Makao Makuu ya JWTZ, lakini hukutana na wageni wake wote Kariakoo kwa familia yake. Kwa hiyo kudhani kuwa Alikiba na Nassib wanahitaji kupatanishwa ni kufikiria vibaya. Na siku moja nikiongeza ujasiri wangu nitawataja hao watu wa genge hilo hata wawili watatu ili mpate kuelewa zaidi.
Pia nitaeleza aliyefanikiwa kumshawishi Alikiba arudi kwenye muziki, na alimshawishi baada ya kutokea kitu gani? Wengi walishindwa kumshawishi arudi kwenye muziki. Hilo genge liliwahi kuwa na wasanii kama Mr Nice, Ray C, TID na wakati fulani walikuwa na Chid Benz. Ila sasa wako pia na Shetta, Linah na hivi majuzi nimesikia wameanza kumsogeza karibu Belle 9.

Ova
Aisee kumbe kuna mengi eeeeh
 
Mhhh!!!
 
Mdakuzi hii habari mpya kabisa, sasa kama ni hivo mbona hawa-dis wasanii wanaosimamiwa na hilo genge ila huwa anamuongelea vibaya DIAMOND ???????pia hilo genge alilifanya nini hadi watake kumfanya hayo ?????? na je kushechukua hatua gani zidi ya hilo genge ????( kama kuripoti polisi au )
 
ni sawa na kumpatanisha meek mill na Drake wakati beef zao zinawapa kiki na mauzo mingi ya album
 
Mdakuzi hii habari mpya kabisa, sasa kama ni hivo mbona hawa-dis wasanii wanaosimamiwa na hilo genge ila huwa anamuongelea vibaya DIAMOND ???????pia hilo genge alilifanya nini hadi watake kumfanya hayo ?????? na je kushechukua hatua gani zidi ya hilo genge ????( kama kuripoti polisi au )
Hii wala sio habari mpya. Kwani ajali ilitengenezwa na kutokea 2011 huko. Kuvamiwa na silaha za kijeshi Kunduchi ilitokea mwaka juzi nadhani.
Alikiba huwa hamuongelei Nassib vibaya ila tafsiri tu ndo hujengwa kuwa kamsema Nassib.

Kuhusu kutoa taarifa!
Haya magenge yamejipanga mkuu ndio maana unaona hata alipovamiwa Kunduchi askari walifika zaidi ya dakika 20 baada ya tukio.
Uliwahi kusikia mkasa wa Betty Ndejembi aliyeokotwa akiwa amebakwa huku akiwa hajitambui na kufariki alipofikishwa pale Muhimbili?
Ukiujua mkasa huo ambao hata ZZK alijaribu kuubebea bango lakini akashindwa ndio utajua nguvu ya hili genge.

Fafanua vizuri mkuu, this is the only place where we dare to talk openly
 
Hii wala sio habari mpya. Kwani ajali ilitengenezwa na kutokea 2011 huko. Kuvamiwa na silaha za kijeshi Kunduchi ilitokea mwaka juzi nadhani.
Alikiba huwa hamuongelei Nassib vibaya ila tafsiri tu ndo hujengwa kuwa kamsema Nassib.

Kuhusu kutoa taarifa!
Haya magenge yamejipanga mkuu ndio maana unaona hata alipovamiwa Kunduchi askari walifika zaidi ya dakika 20 baada ya tukio.
Uliwahi kusikia mkasa wa Betty Ndejembi aliyeokotwa akiwa amebakwa huku akiwa hajitambui na kufariki alipofikishwa pale Muhimbili?
Ukiujua mkasa huo ambao hata ZZK alijaribu kuubebea bango lakini akashindwa ndio utajua nguvu ya hili genge.

Ova
Alifanyanao biashara gani ................. ikawaje hadi kufikia hapo ................. au ndio mana anaogopa kuripoti kwa kuhofia na yeye hatosalimika kama akienda kusema walichodhurumiana ??????????
 
Hakufanya nao biashara yoyote, ila walitaka wafanye naye lakini aliwakatalia. Na kwa bahati mbaya hakuwajibiana vizuri na kumwekea visasi.
Kwa historia ya mkasa wake amekuwa hawaamini hao askari, kwa maana nyingine hategemei kama wanaweza kumpa msaada wa maana.
Nikwambie tu, mmoja wa walio kwenye hilo genge amekijenga kituo cha polisi kwa pesa zake.

Ova
 
Km ndio hivo siko tayari kuona Ali Kiba akitaka kuangamizwa kwa staili hii wengi wanampenda,na kupotezwa kwa kiba sidhani km kutakuwa na usalama kwa Nass yasije yakajitokeza ya kwa madiba kwa wafalme wa raggae kule Tumuombee mungu amlinde na mabaya yote dhidi yake
 
Walitaka afanyenao biashara gani hadi akakataa ????
 
Km ndio hivo siko tayari kuona Ali Kiba akitaka kuangamizwa kwa staili hii wengi wanampenda,na kupotezwa kwa kiba sidhani km kutakuwa na usalama kwa Nass yasije yakajitokeza ya kwa madiba kwa wafalme wa raggae kule Tumuombee mungu amlinde na mabaya yote dhidi yake
Yule jamaa anafanya sana ibada. Nadhani hata hilo genge litakuwa likishangaa sana. Kuona jamaa anatikisa tu licha ya mitego yao wanayomtegea.

Ova
 
Back
Top Bottom