Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Kwenye hii dunia kila msimu huwa tunavuna tulichopanda, nadhani huu ni msimu wa Bro.

Hawa watu wakato wanatumia vibaya starehe huwa ngumu sana kushaurika.

Wadago zetu mliopo chuo mnaotumia hela za wazazi, boom na ndugi kupiga starehe jifunzeni kwa hawa watu, hela zikiisha huwa ni mateso sana.

Siku ukimaliza chuo ukaanza kukosa hela za kununua hizo Jagermeister ndio itakuwa mwanzo wa kuharibikiwa na kuteseka sana.
 
Anahitaji wataalamu wa kushape akili yake azaliwe mara ya pili.
Yaani wanaformat upya brain yako na kuiprogram upya.
Brain ikishaingia virus ni lazima uwe teja wa pombe au madawa
Kweli tupu inabidi apatiwe MSAADA maana Hali sio nzurii kabisa.
 
Starehe sio kitu kibaya Ila kinachohitajika ni nidhamu na tafsiri ya nidhamu ni kuwa na kiasi katika mambo yote unayoyafanya.

So starehe inaruhusuiwa na tungi pia Ila kwa kiasi maana hata watu ambao wapo successful wanapiga mitungi Ila kwa kiasi
 
Vijana wanahitaji guidance sana

Presha na sifa vikiungana Lazima afya iteseke
 
Huwa ni ngumu mno kushaulika mfano Kuna duka moja napenda kwenda Kuna ndugu pale wanauzaga vinywaji changamshi in whole sale price...

So unakutana na aina ya watu Kama Jos mtambo yaani kupiga mizinga..kuongea out of point.... maneno mengi Sanaa kupita maelezo..

Mara nyingi mtu unatamani upumzishe akili unakuta mtu ana anza kukusemesha ovyo ovyo kabisaa
 
😁😶Wanauza vinywaji changamshi
 
Kwahiyo tatizo lake hapo ni addiction uraibu


Na njia ya kuondoa Addiction ni kutafuta addiction nyingine.
Addiction nyingine mkuu ni Nini tenaa..nacho jua mpaka yeye mwenyewe akiamua kuacha..nguvu itoke ndani yake...Ila ukimpeleka sober House.

Apewe guidance and counseling then kutoka moyoni aamue kuachana na hayo Maisha..

Pia hata mziki wa bongo jina linakua kubwa mfukoni kwangu pakavu..ndio maana MUZIK WA BONGO UNA STRESS SANAA
 

Hakika . kwahiyo tatizo lake sio vinywaji changamshi Ila tatizo limetokana ukame kwenye mfuko.
 
Vijana wanahitaji guidance sana

Presha na sifa vikiungana Lazima afya iteseke
Ni kweli mkuu..hata Kama mtu anakua na stress kiasi gani ikifikia hatua mtu Kama Jos mtambo hapo ndio mwisho wa reli kigoma.

Akili yake imesha umizwa Sana na ulevi ULIO pitiliza..

Kwa unywaji wa Jos mtambo umemletea UVIVU,UZEMBE,KUA DORMANT,NA KUFUBAA UBONGO.
 
Hakika . kwahiyo tatizo lake sio vinywaji changamshi Ila tatizo limetokana ukame kwenye mfuko.
Unadhania hapati mkwanja wa hapa na pale..mtu akifikia hiyo stage ya Jos mtambo anakua kila anacho kipata kinaishia kwenye ulevi..Kama mzee tupa tupa kwenye kile kitabu Cha o-level..

Na pombe zikizidi tunapoteza nguvu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…