Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Hapa Tanzania mifumo ya kuuza Kazi za wasanii bado haijakaa sawa.

Mfano mtu Kama Ferooz ile nyimbo yake ya starehe ingewekewa mifumo mizuri yeye angeweza Kula na kunywa Maisha yake yote.

Unakuta mtu alifanya Kazi kubwa Ila Leo hana kitu


Watu wanaonufaika vizuri na Muziki ni hawa wasanii wa sasa.

So muda mwingine hauwezi kuwalaumu Sana wasanii wa zamani kwa wanachokipitia .
 
Kuzaliwa Africa ni laana tosha, huyu angekuwa state angekuwa anaogelea kwenye utajiri, hela za digital platform tu zilitosha kumpa maisha, ila cha ajabu ukienda spotify ana wssikilizaji 123 kwa mwezi (na sina hakika kama nyimbo kazipandisha mwenyewe).
Nyimbo kama Darasa huru, Hataki, Jos Masihara, Jos busara zote ni hela zile!

View attachment 3273527

Achana na huyo ebu muangalie Ferooz the hit maker wa Starehe .

Hawa wote wangekuwa nchi za dunia ya kwanza wangekuwa matajiri wakubwa
 
Vitu vya online tunaandika binadamu. So tunakosea pia.

Kama una nyimbo zake za zamani kuna wimbo mmoja kiitikio kinasema "Hiii haa Hii"

Nakumbuka verse inaanza kwa kusema "Nafikiria makubwa, nataka kuacha ujuba. . ."

Anataja jina lake. Hasemi Jos Mtambo anasema "Jose Mtambo, toka Kigambo, Nino . . ."
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Kuzaliwa Africa ni laana tosha, huyu angekuwa state angekuwa anaogelea kwenye utajiri, hela za digital platform tu zilitosha kumpa maisha, ila cha ajabu ukienda spotify ana wssikilizaji 123 kwa mwezi (na sina hakika kama nyimbo kazipandisha mwenyewe).
Nyimbo kama Darasa huru, Hataki, Jos Masihara, Jos busara zote ni hela zile!

View attachment 3273527
Upo sahihi mkuu lavit..kukosa management NZURII... stress za Muzik hupelekea wasanii wengi watumie vilevi vikali vikali..
 
Back
Top Bottom