Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hii inawezekana pia.Hivi vitu viko spiritually zaidi
Na hapo wa kumponya ni mganga wa kienyeji ambaye hana konakona huku kwenye dini atachelewa sana.
Hii inawezekana pia.Hivi vitu viko spiritually zaidi
Unajua kinachotokea?! At that age lazima ukate tu tamaa kwasababu age mates wako karibu wote have got stable life, stable families..hata ambao hawana familia lakini wana maisha reasonable kidogo kuliko wewe. Wewe unakua kama umetoka jela leo ama ndo unazaliwa. At that age huwezi kusema urudi shule ukasome update kazi. At that age ni watu wachache sana wanaweza kukuamini na kukupa connection nzuri ya kutoboa. At that age hata ndugu zako wanakua washakukatia tamaa ni ngumu kukusaidia. Sasa stress ndo hua inaanzia hapo. Nobody cares about you, watu washakuondoa kwenye hesabu na wanakuona mzigo. So asipopatikana mtu wa kukuokoa ndo basi tena. Mimi naelewa anachopitia yeye pamoja na brothers wetu wa enzi hizo ambao walituburudisha vizuri na ngoma Kali za bongo flava those days tuko primary then adi secondary na leo tuko around late 30' and early 40's, unadhani wao watakua na umri gani?! Mtu kama hana maisha ya kueleweka at that age lazima achanganyikiwe tuUme elezea vyema Sanaa..upo sahihi Sanaa..jamaa atakua ni mzaliwa wa 70's
Watu walio karibu nae wamshauri pia wampe tiba ya akili maana kwa anavyo onekana kesha kata tamaa ya maishaa
Toto kama halisikii unalipeleka tu.We jamaa..jela sio chuo..jela huwezi mpeleka mwanao..eti akajifunzee .☺️😊
Tena mtambo wa gongo 🤣🤣🤣🤣🤣Huyo kweli ni mtambo
HeheheheheheheheheheheheheheheheTena mtambo wa gongo 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwaio mkuu hayakuhusu.
Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii oooh..kaa tayarii...NGOMA Ina goooo...
Hiki ni moja ya kionjo kwenye wimbo wa Roma akishirikiana na Jos mtambo na darasa....huu wimbo unaitwa KAA TAYARI...
Nimeangalia video ya Jos mtambo akiwa kwenye Hali ya ALOSTO na ulevi ULIO pindukia anatia huruma anaitaji kusaidiwa.
Nacho amini akili ya mwanadamu yeyote akiwa ana boost vilevi hufanya akili kuwa na uwezo mkubwa na upeo usio wa kawaida.
Tatizo huibuka pale wanapo kua waraibu nasikitika na Maisha ya Jos mtambo pia ninae mtu anae nihusu na yeye ana ELIMU NZURII KABISA Ila amekuja kua mlevi wa kutupwa inauma na kusikitisha Sanaa
POMBEKALI, UGOLO, BANGI VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA / MBAYA TATIZO NI MTU MWENYEWE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE, BANGI VILEVI UKABAKIA NA UTIMAMU WAKO WA AKILI.
JOS MTAMBO ATAKUA ALIKUA ANATUMIA MUDA MREFU ILA KWA SASA KUTOKANA NA OVERDOSE NA MISUSE IMEMLETEA SHIDA UKIJUMLISHA STRESS ZA MAISHA NDIO VIMEMMALIZA KABISA..
LEO Dr am 4 real PhD Napandaga daladala nashikaga bomba hakuna anae nijua 😔😊☺️ usupastaa ni zigo la miiba ukilibeba lazima utaumia.
NAONA JOS MTAMBO KAJIKATIA TAMAA ANAITAJI MSAADA.
View: https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=lN-kvrcCMs41P1RY
Kuna vitu I mean ulevi/ vilevi vyenye addiction Ila bia , pombekali zimekuwepo for years na hata wafalme wa ZAMANI na washindi wa vita for years wamekua wakitumia..Ndugu mleta mada, sikubaliana nawe katika maelezo haya "POMBEKALI, UGOLO, BANGI VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA / MBAYA TATIZO NI MTU MWENYEWE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE, BANGI VILEVI UKABAKIA NA UTIMAMU WAKO WA AKILI"
Hivyo vyote ulivyovitaja hapo havijawahi kuwa salama. Vyote vina kawaida ya kuleta kitu kinaitwa addiction, kiswahili ndo hiyo hali inaitwa arosto. Hata uwe tajiri vipi, au mstaarabu vipi, hiyo hali ikikupata kwisha habari yako, hutaweza kusurvive bila hicho kitu. Unaweza hata jumuua mama yako uvipate, na watu wameua sana wazazi wako, qu kuiba vitu vya nyumbani wakauze maana wanasema hakuna mkopo let cash upate huduma.
Kwa wenye hela wanaweza kumudu kula vizuri, wakawa na mwonekano mzuri tu, unaweza usione mahangaiko yao, ila wanaoishi nao wanajua hayo mateso.
Mbaya zaidi, addiction Ina kawaida ya kutaka uongeze dozi ya kilevi unachotumia as time goes, kama ulikuwa unaweza kuvuta moja utahitaji 2, then 3 na namba inazidi kuongezeka ili upate same level of excitement.
Addiction drastically inashuka quality of life na life expectancy. Usalama ni kutokutumia, kama unatumia, kubali una tatizo usaidiwe. Maana hakuna mwisho mwema.
Madini sanaaaUnajua kinachotokea?! At that age lazima ukate tu tamaa kwasababu age mates wako karibu wote have got stable life, stable families..hata ambao hawana familia lakini wana maisha reasonable kidogo kuliko wewe. Wewe unakua kama umetoka jela leo ama ndo unazaliwa. At that age huwezi kusema urudi shule ukasome update kazi. At that age ni watu wachache sana wanaweza kukuamini na kukupa connection nzuri ya kutoboa. At that age hata ndugu zako wanakua washakukatia tamaa ni ngumu kukusaidia. Sasa stress ndo hua inaanzia hapo. Nobody cares about you, watu washakuondoa kwenye hesabu na wanakuona mzigo. So asipopatikana mtu wa kukuokoa ndo basi tena. Mimi naelewa anachopitia yeye pamoja na brothers wetu wa enzi hizo ambao walituburudisha vizuri na ngoma Kali za bongo flava those days tuko primary then adi secondary na leo tuko around late 30' and early 40's, unadhani wao watakua na umri gani?! Mtu kama hana maisha ya kueleweka at that age lazima achanganyikiwe tu
Tufanye jitihada mkuu. Mimi ntakupigia kesho tujue Cha kufanyaaShida MENEMENE TEKERI NA PERESI niki mwambia ani tafute hafanyi hivyo, ana Anza harakati Kama za mzee wao ni wao.
mwenzie akawa Kama teja, bado yeye kijana msomi ila mambo ya kifala fala tu.
True..Ila age go...Nadhani haya yote yanatokana na kukata tamaa
Jos Mambo ni bonge ya msanii ana talent kubwa
Aache pombe na madawa yanayodhuru afya yake
Afya ndo mtaji
Asiogope kuanza upya nafasi ya kupambana anayo
Ni Jose Mtambo siyo Jos Mtambo
Vitu vya online tunaandika binadamu. So tunakosea pia.
Whatsapp ndio nipoTufanye jitihada mkuu. Mimi ntakupigia kesho tujue Cha kufanyaa
Hivi nyie watu mmefika hata chuo kweli? Boom ambalo halitoshi hata kula mtu anafanyiaje starehe?Kwenye hii dunia kila msimu huwa tunavuna tulichopanda, nadhani huu ni msimu wa Bro.
Hawa watu wakato wanatumia vibaya starehe huwa ngumu sana kushaurika.
Wadago zetu mliopo chuo mnaotumia hela za wazazi, boom na ndugi kupiga starehe jifunzeni kwa hawa watu, hela zikiisha huwa ni mateso sana.
Siku ukimaliza chuo ukaanza kukosa hela za kununua hizo Jagermeister ndio itakuwa mwanzo wa kuharibikiwa na kuteseka sana.