Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
- Thread starter
- #61
BalaaaAiseee
BalaaaAiseee
Aaaah hapana Mkuu .Mkuu,
Una mambo mengi unayajua wewe ni moja ya hazina kubwa ya JF period!
Sijaelewa.Aaaah hapana Mkuu .
Unajua in spiritual realm silaha kubwa ni macho hivyo mtu anayefanya Kazi za kuonekana hawezi kuwa sawa na mtu asiyefanya Kazi za kuonekana.
Sijaelewa.
Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii oooh..kaa tayarii...NGOMA Ina goooo...
Hiki ni moja ya kionjo kwenye wimbo wa Roma akishirikiana na Jos mtambo na darasa....huu wimbo unaitwa KAA TAYARI...
Nimeangalia video ya Jos mtambo akiwa kwenye Hali ya ALOSTO na ulevi ULIO pindukia anatia huruma anaitaji kusaidiwa.
Nacho amini akili ya mwanadamu yeyote akiwa ana boost vilevi hufanya akili kuwa na uwezo mkubwa na upeo usio wa kawaida.
Tatizo huibuka pale wanapo kua waraibu nasikitika na Maisha ya Jos mtambo pia ninae mtu anae nihusu na yeye ana ELIMU NZURII KABISA Ila amekuja kua mlevi wa kutupwa inauma na kusikitisha Sanaa
POMBEKALI, UGOLO, BANGI VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA / MBAYA TATIZO NI MTU MWENYEWE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE, BANGI VILEVI UKABAKIA NA UTIMAMU WAKO WA AKILI.
JOS MTAMBO ATAKUA ALIKUA ANATUMIA MUDA MREFU ILA KWA SASA KUTOKANA NA OVERDOSE NA MISUSE IMEMLETEA SHIDA UKIJUMLISHA STRESS ZA MAISHA NDIO VIMEMMALIZA KABISA..
LEO Dr am 4 real PhD Napandaga daladala nashikaga bomba hakuna anae nijua 😔😊☺️ usupastaa ni zigo la miiba ukilibeba lazima utaumia.
NAONA JOS MTAMBO KAJIKATIA TAMAA ANAITAJI MSAADA.
View: https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=lN-kvrcCMs41P1RY
Hiki ndicho nina kifanya na nita endelea kukifanya kwenye familia yetuPole yake. Maisha haya bwana. Ndio maana kuna time mtu inabid uingilie maisha yake hata kama ni uhuru wake kuish atakavyo, kwasababu unajua tu mwisho wa siku atakuja kuwa cost tu japo watu watakuona kama mchawi ila mwisho wa siku uhuru uliopitiliza bila mipaka matokeo yake ndio haya sasa. Sisi ni binadamu lazima tu tutamuonea huruma ila wakat wa starehe zake walikua wanaona watu kama wanga kuingilia maisha yao wakiwakosoa
nisha kuambia tutafutane kwenye simu, hii last time nakuambiaMkuu Dr am 4 real PhD sikujui hunijui ila ikikupendeza pray for me iam your. Careermate and that is the way iam going to
Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii oooh..kaa tayarii...NGOMA Ina goooo...
Hiki ni moja ya kionjo kwenye wimbo wa Roma akishirikiana na Jos mtambo na darasa....huu wimbo unaitwa KAA TAYARI...
Nimeangalia video ya Jos mtambo akiwa kwenye Hali ya ALOSTO na ulevi ULIO pindukia anatia huruma anaitaji kusaidiwa.
Nacho amini akili ya mwanadamu yeyote akiwa ana boost vilevi hufanya akili kuwa na uwezo mkubwa na upeo usio wa kawaida.
Tatizo huibuka pale wanapo kua waraibu nasikitika na Maisha ya Jos mtambo pia ninae mtu anae nihusu na yeye ana ELIMU NZURII KABISA Ila amekuja kua mlevi wa kutupwa inauma na kusikitisha Sanaa
POMBEKALI, UGOLO, BANGI VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA / MBAYA TATIZO NI MTU MWENYEWE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE, BANGI VILEVI UKABAKIA NA UTIMAMU WAKO WA AKILI.
JOS MTAMBO ATAKUA ALIKUA ANATUMIA MUDA MREFU ILA KWA SASA KUTOKANA NA OVERDOSE NA MISUSE IMEMLETEA SHIDA UKIJUMLISHA STRESS ZA MAISHA NDIO VIMEMMALIZA KABISA..
LEO Dr am 4 real PhD Napandaga daladala nashikaga bomba hakuna anae nijua 😔😊☺️ usupastaa ni zigo la miiba ukilibeba lazima utaumia.
NAONA JOS MTAMBO KAJIKATIA TAMAA ANAITAJI MSAADA.
View: https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=lN-kvrcCMs41P1RY
Wasanii wanajiendekeza sana, wengine hata kujumuika na jamii hawataki kisa wanasema wanalinda brand.Jos mtambo anatia huruma Sana na kiukweli watu walio fikia stage ya Jos hawasaidiki..
Najua Jos mtambo unaweza kumchukua kumsaidia akashindwa ku cope
Leo ndio Leo tuone Jose akisaidika maana amesha lost.
Hovyo hovyoTrue brother.. binafsi Mimi tangia mtoto mdogo....kwetuu 80's kulikua na kioo kikubwa.. dressing table sisi watoto wa kotaa.. kwenye kile kioo kikubwa nikiwa najiangalia nikiwa mtoto nilikataa kua MTU WA OVYO OVYO.
Brother tujifunze na tukatae kua watu wa OVYO OVYO..
Hastahili kupewa.Jos mtambo ana itaji MSAADA kuliko kipindi chochote Cha UHAI wake.
Very trueHovyo hovyo
Hakuna Binadamu special... Mnywa GONGO, chimpumu,chang'aa pia wanaitaji second chance..Hastahili kupewa.
Wanaostahili msaada ni maskini wanaojituma ila wanakwama mahala iwe nyenzo au mtaji. Lakini sio huyo mnywa gongo..
Mtu akishafika stage hii ya ulevi mkwepe kama ukoma.anasema bongo kugumu lkn amekuwa mlevi wa kupindukia, ndio anataka kwenda Marekani ambapo pombe ni bei rahisi kuliko chakula....mwezi 2 tu tunarudishiwa mwili