Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

Mtu akishafika stage hii ya ulevi mkwepe kama ukoma.

Wengi huwa na tamaa ya vitu vidogo vidogo ukijipindua kidogo wanakuibia hivyo kataa kabisa mazoea naye.
Ni kweli Ila anaitaji MSAADA... Maana hatumii heroine..

Anaweza kubadilika akiwa na dhamira za dhati .
 
Tumsaidie mwanetu..Kama vipi intelligent bzz najua ni introduce kwa jamaa tumsaidie mwanetu sawa...

Nachukia Sana mtu nae mfahamu kuharibikiwa kisa POMBE
Shida MENEMENE TEKERI NA PERESI niki mwambia ani tafute hafanyi hivyo, ana Anza harakati Kama za mzee wao ni wao.

mwenzie akawa Kama teja, bado yeye kijana msomi ila mambo ya kifala fala tu.
 
Mkuu Dr am 4 real PhD sikujui hunijui ila ikikupendeza pray for me iam your. Careermate and that is the way iam going to
Pole mkuu..kujua tatizo ni mwanzo mzuri wa kulikabili..nta cheki na intelligent business then tuta arrange tuone tunafanyaje kitu kwa ajiri yako sawa..

Be strong 💪 stay safe 🙏
 
Nilichojifunza kwenye maisha kila kitu kinaenda na umri na zama zake pia. Watu husema kua kufanikiwa hakuangalii umri lakini kwa maisha yetu ya kiafrica networks za kufanikiwa ni finyu sana, so kuna umri na zama zako zikipita ni ngumu sana kua yule tena. Mfano mzuri tu, Edo Kumwembe amedeclare kua alisoma nae, Edo yuko around 47 years which means hata Jos Mtambo atakua anachezea humo humo 45+. Kikubwa ni kumsaidia arudi kwenye hali yake ya kawaida ili awe kama watu wengine wa umri wake na afanye maisha mengine awe baba bora na baadae very soon babu bora. Sio rahisi kurudi kwenye level zile kwasababu zama zishapita that's why kina Professor J sasa hivi wanakomaa na siasa, afande Sele analima, Soggy katulia. Hiyo pekee inatosha kukuonesha maisha ni zama na zama zako zikipita huwezi kulazimisha, just fanya mambo mengine tu ili maisha yaendelee. Anyways, ushauri vijana tutumie vizuri umri na zama zetu. Nyakati za shule nenda shule, nyakati za chuo nenda chuo, wakati wa kua na familia Mungu akikujaalia kua nayo,...kuna muda ukifika huwezi tena kufanya mambo kwenye kiwango kile kwasababu zama zake zinakua zishapita
 
Ume elezea vyema Sanaa..upo sahihi Sanaa..jamaa atakua ni mzaliwa wa 70's

Watu walio karibu nae wamshauri pia wampe tiba ya akili maana kwa anavyo onekana kesha kata tamaa ya maishaa
 
Back
Top Bottom