Leicester City ndiye bingwa!!

Leicester City ndiye bingwa!!

Hivi bado mechi 2 ama 3?niweke sawa hapo maana jumla ya timu zipo 20 na kila timu inatakiwa icheze mechi ngapi?
Bado mechi 3 ila ya 3 inacheza timu moja tu hakuna refa, wala timu pinzani ila kuna offside
 
Look at the moment at Jamie Vardy's house

Joy........furaha ni furaha tu haina uzungu, sometimes unaweza kuwa pub ukashangilia hivi halafu mtu mwingine ananuna kuona unaondoa mastress hahaha

article-3569871-33C0F89C00000578-912_964x339.jpg
 
me bado sielewi..mwanzon kabisa mwa msimu alex ferguson alinukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari vya pale uk akitoa maoni yake na akasema ana uhakika leicester watakua mabingwa wa msimu huu na leo limetimia hilo..je kuna uhusiano gani hapo au bingwa huwa anaandaliwa mapema?

Haji Manara anaweza kukupa jibu murua
 
me bado sielewi..mwanzon kabisa mwa msimu alex ferguson alinukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari vya pale uk akitoa maoni yake na akasema ana uhakika leicester watakua mabingwa wa msimu huu na leo limetimia hilo..je kuna uhusiano gani hapo au bingwa huwa anaandaliwa mapema?
Hukana uchawi zaidi ya kuangalia mwenendo wa timu husika dhidi ya timu nyingine.
 
Funny Fact:

May 2nd 1993 | May 2nd 2016

Peter/Kasper Schmeichel win their first Premier League titles, at the age of 29.

13100772_1193326107358980_3579337869199141618_n.jpg
 
Yule jamaa atakuwa kawafilisi wale wenye kampuni ya kuchezesha kamari
 
WENZIO TULIJUA TOKA LIGI ILIPOKUWA INAANZA NGOJA NKACHUKUE MPUNGA WANGU NILIMBETIA KING POWER KAMA ANABEBA NDOO.
mkuu embu tupeni ujuzi wa kubet ninyi mlio mamaster wa kubet je! Njurugu unapewatu ukibashiri ni tim ipi itashinda?

Au vigezo na mashariti kuzingatiwa? Yaani mkifungana tabiri mnashindanishwa?

Naomba ufafanuzi mzee wa kubet.
 
Yupi huyo ????
Jamaa alibet Leicester itachukua ubingwa, sasa wale wenye kampuni walivyoona kweli Leicester inaelekea kuchukua ubingwa wakaenda kumuomba jamaa wampe hela kiasi ili ajitoe ktk huo ubashiri maana ingechukua kweli basi jamaa angewatia njaa kali, mara ya mwisho nilisikia jamaa alikataa kujitoa ss cjui itakuwaje
 
mkuu embu tupeni ujuzi wa kubet ninyi mlio mamaster wa kubet je! Njurugu unapewatu ukibashiri ni tim ipi itashinda?

Au vigezo na mashariti kuzingatiwa? Yaani mkifungana tabiri mnashindanishwa?

Naomba ufafanuzi mzee wa kubet.

mkuu kubet sio kazi rahis sikushaur hii kitu inaenda na bahat lazima uchek tarehe zako kifup ni nyota tu unaweza usile miez mi 3 mfululizo hapo inabid uwe na taiming kuchek ni kipind kipi unapiga kuna mwingine haangalii siku ipi kwake iko fresh yy ni kuweka mzigo tu yafaa uzijue vizur timu na zinapokutana inakuwaje sio kwamba ukibet unakula pia upepo wa timu pia unauangalia mfano hao king power walikuwa na upepo mzur ndo mana nkasema sio kazi nyepes pia uwe na vyanzo vya pesa kubet sio kazi ni mchezo wa bahat nasibu kuna kula na kuliwa usipanic wala roho isikuume ikitokea umeliwa ukila shangwe ukikata tamaa ktk kamar ushajitoa kama hujaanza acha.
 
mkuu kubet sio kazi rahis sikushaur hii kitu inaenda na bahat lazima uchek tarehe zako kifup ni nyota tu unaweza usile miez mi 3 mfululizo hapo inabid uwe na taiming kuchek ni kipind kipi unapiga kuna mwingine haangalii siku ipi kwake iko fresh yy ni kuweka mzigo tu yafaa uzijue vizur timu na zinapokutana inakuwaje sio kwamba ukibet unakula pia upepo wa timu pia unauangalia mfano hao king power walikuwa na upepo mzur ndo mana nkasema sio kazi nyepes pia uwe na vyanzo vya pesa kubet sio kazi na mchezo wa bahat nasibu ukiliwa usipanic wala roho isikuume ukikata tamaa ktk kamar ushajitoa kama hujaanza acha.
mkuu sasa hii si desi nyingine? Maana unajua mkuu watu wamekuwa wajanja sana katika arakati za kutafuta pesa.

Unaweza ukaidharau buku yako, lakini wakitoa buku watu mia ni shilingi ngapi?

Michezo ihi niyakula ela za watu wasio na upeo wakufikiria, ni ujanja ujanja unaochanganywa na mazinga ombwe na uganga uganga.

Kuwafanya watu wageuke wakina shekh yahya hussein. Wazee wa nyota.

Tufanye kazi jamani hakuna utajiri wa mkato. Utajiri wa mkato ndiyo unao zalisha desi.

Wajanja wachache wanatumia udhaifu wa wengine kujitajirisha.
 
ni kweli mkuu kubet bana haina tofaut na hayo ma desi wanaofaid huu mchezo walio na kipato timu zako 3 huwez kumkosa ndani ya mwez mala mbili au tatu ila kwa buku na jero unasubiri sana bench
 
May 2nd 1993 | May 2nd 2016

Peter & Kasper Schmeichel have become the second father & son duo to win the Premier League title

3316C8C900000578-3535321-image-a-44_1460445016161.jpg

0798653.jpg

Back
Top Bottom