mkuu sasa hii si desi nyingine? Maana unajua mkuu watu wamekuwa wajanja sana katika arakati za kutafuta pesa.
Unaweza ukaidharau buku yako, lakini wakitoa buku watu mia ni shilingi ngapi?
Michezo ihi niyakula ela za watu wasio na upeo wakufikiria, ni ujanja ujanja unaochanganywa na mazinga ombwe na uganga uganga.
Kuwafanya watu wageuke wakina shekh yahya hussein. Wazee wa nyota.
Tufanye kazi jamani hakuna utajiri wa mkato. Utajiri wa mkato ndiyo unao zalisha desi.
Wajanja wachache wanatumia udhaifu wa wengine kujitajirisha.