Mmh....huku nako hakusomeki.....Haya sasa, mashabiki wote EPL hamieni Leicester kama vipi
Hii timu inajijua yenyewe...UEFA Wamecheza kandanda safi mpaka sasa timu kubwa zimeanza kushtuka, ni timu ambayo watu wanashtukia tu iko juu...kwasababu ina jina dogo inapata faida ya kutokamiwa..Hii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Hii timu inajijua yenyewe...UEFA Wamecheza kandanda safi mpaka sasa timu kubwa zimeanza kushtuka, ni timu ambayo watu wanashtukia tu iko juu...kwasababu ina jina dogo inapata faida ya kutokamiwa..
La liga ina timu tatu, let them fools say epl is better than la liga.Yan kat ya tim nne zlizokuwa champion league UEFA n Leicester pekeake ndo
Amewawakilisha waingereza kwny quarter final man cty pamoja na
Uahind mkubwa wa nyumban lakin
Ameenda ufaransa kung"edia kama
Kaleweshwa viroba
Hawa hawa Monaco
Mdo walimtoa arsenal last years
Matim ya uingereza hayana maana
Kushuka daraja kwa sasa hivi kashakwepa.. Trend yake sasa ni nzuri...wangekuwa hivi toka msimu unaanza top four wangefika sasa kilichowasibu sijui ni niniSijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Gigi Buffon hataki kabisa kusikia habari ya hako ka Leicester City, yeye kwake bora ya BeyernHii timu itakuprove wrong mkuu, leicester ina maajabu yake
Ana haki ya kukaogopa haka katimu..sasa hivi wachezaji nao watajituma sana..wao wanataka kutengeneza historia tuGigi Buffon hataki kabisa kusikia habari ya hako ka Leicester City, yeye kwake bora ya Beyern
Eti shule bora inatoa wanafunzi wabovu...Halafu bado mtu anakomaa kuiita shule bora...Ukichaa sio lazima kuokota makopo.La liga ina timu tatu, let them fools say epl is better than la liga.
Chelsea pekee ndio huwa hacheki na nyaniYani kati ya timu nne zilizokuwa Champions league UEFA ni Leicester peke yake ndo amewawakilisha Waingereza kwenye quarter final. Man City pamoja na
Ushindi mkubwa wa nyumbani lakini ameenda Ufaransa kung"edia kama
kaleweshwa viroba
Hawa hawa Monaco ndo walimtoa Arsenal last years.
Matimu ya Uingereza hayana maana
Sawa kabisaHaijakutana na wababe.
Subiri draw ya kesho.