Leicester City ndo timu pekee ya Uingereza iliyoenda quarter final UEFA

Hako ka Leicester sijui katamtoa nani robo fainali maana kalirukaruka kwa Sevilla kakapaki basi mwisho kakachomoka kimazabe,katatandikwa vibaya robo fainali bahati haiji mara 2.
Mkuu mpira unadunda. Hata epl kalichukua kwa mtindo huo. Kumbuka sevila ni wa ngapi kule laliga. Leceister hana cha kupoteza anachosaka yeye ni kuweka rekodi tu
 
Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Mkuu BAK hawa sasa hivi wana laana ya kumfukuza kocha Claudio. Baada ya kushinda epl walibweteka na hawakutaka tena kumsikiliza kocha. Alipowagombeza wakamsusia na kupata matokeo mabovu. Hushangai sasa wameshinda mechi 3 mfululizo chini ya kocha msaidizi? Hii laana itawatafuna milele

Cc Asprin kwa mwongozo wa kalumanzila
 
EPL timu kubwa zilikua weak ndio maana Leicester aliweza kutwaa ubingwa, nadhani msimu ujao wa UEFA rasmi zitaanza kurudi maana zinazidi jiimalisha kila itwapo leo.
 
Mkuu BAK hawa sasa hivi wana laana ya kumfukuza kocha Claudio. Baada ya kushinda epl walibweteka na hawakutaka tena kumsikiliza kocha. Alipowagombeza wakamsusia na kupata matokeo mabovu. Hushangai sasa wameshinda mechi 3 mfululizo chini ya kocha msaidizi? Hii laana itawatafuna milele

Cc Asprin kwa mwongozo wa kalumanzila
Umemaliza yote... hii ndo kama ule usemi "maskini akipata, matako hulia mbwata"
 
Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Hapana BAK hawa jamaa baada ya kunyakua mwali ndio watu wakawashtukia kuwa wazuri so mwaka huu kila game alicheza Leicester ilikuwa kama fainali sasa huko UEFA wanataharuki sasa jamaa wameisha ingia ndani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leicester inaishia robo fainali..haiendi mbali trust me
Bora yeye ameingia kwa mara ya kwanza nakufika robo fainali je aseno miaka yote anashiriki uefa amefika wapi?alafu kiaseno kinajiita timu kubwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja watoto wa wenger wakusikie
 
Bora yeye ameingia kwa mara ya kwanza nakufika robo fainali je aseno miaka yote anashiriki uefa amefika wapi?alafu kiaseno kinajiita timu kubwa.
Nyambafu kabisa wewe hivi unaijua Arsenal au unaiskia sikia tu yaani una fungua fungua tu mdomo wako ovyo kuitaja taja Arsenal bila hata kufikiri unitaja kwa muktadha gani eboo!! Ndorobo wewe.
 
Naitaja kwa muktadha wa 10-2
 
Back
Top Bottom