Leicester City ndo timu pekee ya Uingereza iliyoenda quarter final UEFA

Hii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Mkuu hii timu siielewi kabisa. Lakini toka wamfukuze kocha wao wameshinda mechi mbili mfululizo tena kwa kishindo. Hadi wapinzani wameanza kuwaogopa. Let's wait and see their next coming fixtures.
 
Kushuka kiwango kwa timu nguli england ndo kumefanya epl isiwe na timu nzuri. Man u, livapul na chelsea ndo timu ambazo zikiwa huko kama zipo vizuri hazirembi. Sasa hawa asernal, man na totenham kazi kukimbila big 4 tu wakienda uefa ni butu kweli hadi aibu. Naamini chelsea angekuwa big 4 musimu uliopita angefika nusu fainali. Na bila kupepesa macho timu inayoweza kutingisha uefa kwa sasa pale epl ni chelsea tu ndio atleast imekamilika. Leceister akipewa timu kama monaco, borusia na juve anaweza kuzitoa afu akatinga nusu final. Mark my words
 
Sasa hizo timu liver Chelsea na Man u Kama nzuri mbona top 4 haziingii
 
Hii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Mkuu binadamu ndo walivyo,na ili nilimejirudia kwenye ligi ya EPL kwa Ranieri pamoja na Josee kipindi akiwa Chelsea yaliyoko training ground na resting room ni Mengi mbinu mbovu na wachezaji wakongwe kukuangusha kwa manufaa yao believe me Leicester city ni wazuri sana hata Shakespeare hana mbinu ila ni juhudi tu za wachezaji
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kushuka kiwango kwa timu nguli england ndo kumefanya epl isiwe na timu nzuri. Man u, livapul na chelsea ndo timu ambazo zikiwa huko kama zipo vizuri hazirembi. Sasa hawa asernal, man na totenham kazi kukimbila big 4 tu wakienda uefa ni butu kweli hadi aibu. Naamini chelsea angekuwa big 4 musimu uliopita angefika nusu fainali. Na bila kupepesa macho timu inayoweza kutingisha uefa kwa sasa pale epl ni chelsea tu ndio atleast imekamilika. Leceister akipewa timu kama monaco, borusia na juve anaweza kuzitoa afu akatinga nusu final. Mark my words
Absolutely mkuu passion yao iko juu niliona juzi Mahrez sio yule ya December morali uko juu sana pili defence yao pamoja na goalkeeper wao wako makini sana
 
Hako ka Leicester sijui katamtoa nani robo fainali maana kalirukaruka kwa Sevilla kakapaki basi mwisho kakachomoka kimazabe,katatandikwa vibaya robo fainali bahati haiji mara 2.
 
Back
Top Bottom