Kushuka kiwango kwa timu nguli england ndo kumefanya epl isiwe na timu nzuri. Man u, livapul na chelsea ndo timu ambazo zikiwa huko kama zipo vizuri hazirembi. Sasa hawa asernal, man na totenham kazi kukimbila big 4 tu wakienda uefa ni butu kweli hadi aibu. Naamini chelsea angekuwa big 4 musimu uliopita angefika nusu fainali. Na bila kupepesa macho timu inayoweza kutingisha uefa kwa sasa pale epl ni chelsea tu ndio atleast imekamilika. Leceister akipewa timu kama monaco, borusia na juve anaweza kuzitoa afu akatinga nusu final. Mark my words