Mkuu mpira unadunda. Hata epl kalichukua kwa mtindo huo. Kumbuka sevila ni wa ngapi kule laliga. Leceister hana cha kupoteza anachosaka yeye ni kuweka rekodi tuHako ka Leicester sijui katamtoa nani robo fainali maana kalirukaruka kwa Sevilla kakapaki basi mwisho kakachomoka kimazabe,katatandikwa vibaya robo fainali bahati haiji mara 2.
Mkuu BAK hawa sasa hivi wana laana ya kumfukuza kocha Claudio. Baada ya kushinda epl walibweteka na hawakutaka tena kumsikiliza kocha. Alipowagombeza wakamsusia na kupata matokeo mabovu. Hushangai sasa wameshinda mechi 3 mfululizo chini ya kocha msaidizi? Hii laana itawatafuna mileleSijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Spurs huko Uefa siyo mahali pakeLakin akutanapo na atl Madrid au spurs
Hua anasalit amr mwenyewe
Ni mnafiki huyo, yaani jamaa anatamani wakutane na Leicester ndo mchumba aliyebakia
Umenena vyema mkuuChelsea pekee ndio huwa hacheki na nyani
Umemaliza yote... hii ndo kama ule usemi "maskini akipata, matako hulia mbwata"Mkuu BAK hawa sasa hivi wana laana ya kumfukuza kocha Claudio. Baada ya kushinda epl walibweteka na hawakutaka tena kumsikiliza kocha. Alipowagombeza wakamsusia na kupata matokeo mabovu. Hushangai sasa wameshinda mechi 3 mfululizo chini ya kocha msaidizi? Hii laana itawatafuna milele
Cc Asprin kwa mwongozo wa kalumanzila
Hapana BAK hawa jamaa baada ya kunyakua mwali ndio watu wakawashtukia kuwa wazuri so mwaka huu kila game alicheza Leicester ilikuwa kama fainali sasa huko UEFA wanataharuki sasa jamaa wameisha ingia ndani.Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Bora yeye ameingia kwa mara ya kwanza nakufika robo fainali je aseno miaka yote anashiriki uefa amefika wapi?alafu kiaseno kinajiita timu kubwa.Leicester inaishia robo fainali..haiendi mbali trust me
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja watoto wa wenger wakusikieBora yeye ameingia kwa mara ya kwanza nakufika robo fainali je aseno miaka yote anashiriki uefa amefika wapi?alafu kiaseno kinajiita timu kubwa.
Nyambafu kabisa wewe hivi unaijua Arsenal au unaiskia sikia tu yaani una fungua fungua tu mdomo wako ovyo kuitaja taja Arsenal bila hata kufikiri unitaja kwa muktadha gani eboo!! Ndorobo wewe.Bora yeye ameingia kwa mara ya kwanza nakufika robo fainali je aseno miaka yote anashiriki uefa amefika wapi?alafu kiaseno kinajiita timu kubwa.
Naitaja kwa muktadha wa 10-2Nyambafu kabisa wewe hivi unaijua Arsenal au unaiskia sikia tu yaani una fungua fungua tu mdomo wako ovyo kuitaja taja Arsenal bila hata kufikiri unitaja kwa muktadha gani eboo!! Ndorobo wewe.