Leicester City, Special Thread

Leicester City, Special Thread

Yani kwa lugha nyingine ungekuwa umeweka mkeka kwa hii match tayari unge kuwa umelamba mpunga, ulibashiri vyema mzeya kula gwala[emoji106]
Ninachowapenda Leicester city, hawachez kwa presha ya ubingwa, ila wanatafuta ushind, tofaut na Liverpool ya Gerard na Suarez presha iliwazidia

Ninawasaidia wengi kwenye mikeka mkuu, mi ni mzembe wa betting
 
T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester city

toxic9 ni kweli kaka. Hili game la Man Utd vs Leicester City jumapili litakuwa pambano la kukata na shoka.
 
toxic9 ni kweli kaka. Hili game la Man Utd vs Leicester City jumapili litakuwa pambano la kukata na shoka.
MAN U VS LEICESTER CITY

Patawaka moto
Man U anataka kupanda kwenye top 4 huku na SISI tunatafuta to declare the CROWN very early....patamu hapo... Siruhusu buti lakini[emoji448]
 
MAN U VS LEICESTER CITY

Patawaka moto
Man U anataka kupanda kwenye top 4 huku na SISI tunatafuta to declare the CROWN very early....patamu hapo... Siruhusu buti lakini[emoji448]
Van gaal atakaze ili the foxes asitangazie ubingwa old Trafford
 
BAN EXTENSION KWA VARDY
hii imekaaje, ina maana maamuzi yao ya awali kumfungia match moja walikosea ama baada ya kuona match zidi ya MAN U itawapa ushindi kijana akiwepo ama ili nalo ni jipu

Mshambuliaji wa Uingereza Jamie Vardy atakosa mechi ya klabu yake Leicester City dhidi ya Manchester United Jumapili baada ya kuongezewa adhabu kutokana na utovu wa nidhamu.

Ameongezewa marufuku ya kutocheza mechi nyingine baada ya kosa la utovu wa nidhamu.
Vardy alimkaripia mwamuzi wa mechi Jon Moss baada ya kuoneshwa kadi nyekundi wakati wa mechi yao dhidi ya West Ham tarehe 17 Aprili ambayo iliisha sare ya

6e33a94c034bc8f5d669a31a7b017133.jpg
 
Attachments

  • 1461674582247.jpg
    1461674582247.jpg
    25 KB · Views: 45
  • 1461674594527.jpg
    1461674594527.jpg
    23.3 KB · Views: 42
T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester city

Hii mechi siyo ya kukosa. Man U anatakiwa ashinde ili apate uhakika top 4 kwakuwa kuna mechi kati ya Man City na Arsenal hao akifungwa mmoja tu anashuka mpaka nafasi ya tano endapo Man U akishinda match yake na Norwich. Match tamu sana hii.
 
Back
Top Bottom