Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda mpira mpaka najihisi labda nina jinsia mbili ...........
Kipige ili uje kuwa kama carli llyod, namkubali sana huyu mwanamke yeye anatokea taifa la USA,mwaka jana amebeba the best woman player of the yearNapenda mpira mpaka najihisi labda nina jinsia mbili...........
Napenda kushangilia tu.......kucheza sipendi....Hapo kwenye rangi umeniacha hoi hahahaha saa kwanini usikipige twiga star utusaidie kulitangaza soko letu nje ya nchi
Hongera zake....mie nabaki kuwa mshangiliaji tu. Kucheza ngoja niwaachie hao.Kipige ili uje kuwa kama carli llyod, namkubali sana huyu mwanamke yeye anatokea taifa la USA,mwaka jana amebeba the best woman player of the year
View attachment 342239View attachment 342240View attachment 342241
Asee, umepitwa na vitu vingi sana, sidhani kama vitakuja kujirudia tena.Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Nimepitwa kweli si uwongo ila kwa hizi mechi zilizobakia nitajitahidi nisipitweAsee, umepitwa na vitu vingi sana, sidhani kama vitakuja kujirudia tena.
Njia ni nyeupe kabisa, yaani kama wataifunga Manu pale OT jumapili, shughuli imeisha au hata jumatatu usiku Chelsea akimpiga Spurs, leicester ni bingwa!Hadi sasa naona Leicester City njia ni nyeupe.......
Leicester city 4. 0 Swansea cityLeicester city vs west ham itakuwa droo = point 1
Manchester United vs Leicester city itakuwa droo = point 1
Leicester city vs Swansea city.. the foxes watashinda = point 3
Leicester city vs Everton itakuwa droo = point 1
Chelsea vs Leicester city itakuwa droo = point 1
Hivyo atafikisha point 79 pungufu ya point 2 kutwaa ubingwa
Hapo itabidi amwombee Tottenham hotspurs na arsenal na njaa kwenye izo point 2
Yote kwa yote kila la Kerri the foxes under the boss Claudio ranier
Your sport girl?.. Km ndivyo inavutia msichana kwenda deep in sportsSikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Duuuuuuu I wish tukutane tuongee michezoNapenda mpira mpaka najihisi labda nina jinsia mbili...........
Yap napenda mpira ila hayo mengine ya mpira sijui sana......Your sport girl?.. Km ndivyo inavutia msichana kwenda deep in sports