Leicester City, Special Thread

Leicester City, Special Thread

Napenda mpira mpaka najihisi labda nina jinsia mbili...........
Kipige ili uje kuwa kama carli llyod, namkubali sana huyu mwanamke yeye anatokea taifa la USA,mwaka jana amebeba the best woman player of the year

1461576747450.jpg
1461576766243.jpg
1461576775710.jpg
 
Sasa jamaa wanaitaji kushinda mechi moja Ama wadroo zote mechi zilizobakia.
 
Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Asee, umepitwa na vitu vingi sana, sidhani kama vitakuja kujirudia tena.
 
Hadi sasa naona Leicester City njia ni nyeupe.......
Njia ni nyeupe kabisa, yaani kama wataifunga Manu pale OT jumapili, shughuli imeisha au hata jumatatu usiku Chelsea akimpiga Spurs, leicester ni bingwa!
Watakuwa mabingwa eidha jumapili au jumatatu usiku.
Sioni Spurs wakitoka darajani.
 
Leicester city vs west ham itakuwa droo = point 1

Manchester United vs Leicester city itakuwa droo = point 1

Leicester city vs Swansea city.. the foxes watashinda = point 3

Leicester city vs Everton itakuwa droo = point 1

Chelsea vs Leicester city itakuwa droo = point 1

Hivyo atafikisha point 79 pungufu ya point 2 kutwaa ubingwa

Hapo itabidi amwombee Tottenham hotspurs na arsenal na njaa kwenye izo point 2

Yote kwa yote kila la Kerri the foxes under the boss Claudio ranier
Leicester city 4. 0 Swansea city
Points 3
 
Sikuwahi kuangalia mechi ya leicester city ila kwa jana niliweza kuangalia kwa mara ya kwanza na nikafurahia uchezaji wao. Kwakweli wako vzuri na wanastahili ubingwa......
Your sport girl?.. Km ndivyo inavutia msichana kwenda deep in sports
 
Back
Top Bottom