Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Kupenda tu tayar ni key points, Sema labda marafiki zako sio watu wa mpiraYap napenda mpira ila hayo mengine ya mpira sijui sana......
VIVA THE FOXESDraw west brom 1 vs Tottenham 1 mambo kwetu yanazidi kuwa sodata
Yani kwa lugha nyingine ungekuwa umeweka mkeka kwa hii match tayari unge kuwa umelamba mpunga, ulibashiri vyema mzeya kula gwala[emoji106]Leicester city 4. 0 Swansea city
Points 3
Ninachowapenda Leicester city, hawachez kwa presha ya ubingwa, ila wanatafuta ushind, tofaut na Liverpool ya Gerard na Suarez presha iliwazidiaYani kwa lugha nyingine ungekuwa umeweka mkeka kwa hii match tayari unge kuwa umelamba mpunga, ulibashiri vyema mzeya kula gwala[emoji106]
T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester cityVIVA THE FOXES
Mkuu mi Manchester United Chama langu, ila Sina budi kuwasapot the foxes, Kwan wamestahili msimu huuRasmi nimehama man U nimahamia Leicester city naombeni mnipokee
Karibu mkuu, tunakupokea kwa mikono miwili, ila game la jumapili declare interest utakuwa chama la zamani ama chama jipyaRasmi nimehama man U nimahamia Leicester city naombeni mnipokee
T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester city
MAN U VS LEICESTER CITYtoxic9 ni kweli kaka. Hili game la Man Utd vs Leicester City jumapili litakuwa pambano la kukata na shoka.
Van gaal atakaze ili the foxes asitangazie ubingwa old TraffordMAN U VS LEICESTER CITY
Patawaka moto
Man U anataka kupanda kwenye top 4 huku na SISI tunatafuta to declare the CROWN very early....patamu hapo... Siruhusu buti lakini[emoji448]
T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester city
Tutaongea nini ? Mie najua chenga na kufunga magoli lakini sijui mambo ya beki sijui forward sijui kitu.Duuuuuuu I wish tukutane tuongee michezo
Aiii weweee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Rasmi nimehama man U nimahamia Leicester city naombeni mnipokee
Hiyo siku ya Jumapili hatuta pikwa kwenye chungu kimoja mamii hahahaha ila usinune mkifungwaAsante sana nawatakia Ubingwa mwema ila mkija pale OT tuachieni tuwafunge tu[emoji2] [emoji2]
Hahahahaha sinuniii hiyo ni fair player.....nyie wetuHiyo siku ya Jumapili hatuta pikwa kwenye chungu kimoja mamii hahahaha ila usinune mkifungwa