Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii thread imeanzishwa baaada ya Lecester kuifunga Manutd?
Aston Villa wanaanza kutoa dozi kuanzia mechi inayofuata.
Na Leicester anapata sare.
Kwa sababu hukulianzisha kama ulivyoahidi, au una ids nyingi na hiyo iliyoanzisha ni yako?Mbona hukunipa mwaliko niwe nakuja kukutembelea kwenye jamvi lako?
Kwa sababu hukulianzisha kama ulivyoahidi, au una ids nyingi na hiyo iliyoanzisha ni yako?
Bado una nafasi ya kuyafungua matatu, Crystal Palace, West Ham na Newcastle.
Kama ni wewe ulilifungua bado unasubiri nikuite?
Haya ukuje basi, kaliibuu!
Siipi nafasi kubwa Leicester kutwaa ubingwa, imeanza kwa kasi lakini itakutana na vizingiti kuanzia Januari. Sababu ya kuiona timu hii ni kuwa imekuwa inaadhibu Timu kubwa, yenyewe haijafikia ukomavu wa kuitwa Timu kubwa.
Leicester inacheza kitimu, kila mmoja anajituma na imebahatika kuwa na Vady na Mahrez ambao wakiona nyavu tu, mpira unaokotwa huko. Tayari Vady alionekana akitoka nje akiwa ameshikilia Hamstring, si dalili nzuri. Na pia tayari timu matai zinamnyemelea kumtwaa. Timu inaweza kuwa top 4 lakini ubingwa haina mpira huo kwa sasa.
Hapa die hard fans wa leicester tutakuwepo. kwanza tupongezane christmas tunakula vizuri
Kama mke wangu! Timu inayoshinda ndo anashabikia
Ali Mwinyi: kuwa na imani na Leicester ni Ruksaaa!Bado nina imani na Leicester City hilo liko wazi...
leo tunakutana na LIVERPOOL....
mnakaribishwa kutoa LIVE UPDATES ZENU HAPA...
ha haa haaaiseeeeeee hiii ni dharau kubwaaa!!!!yaaani jamaa anakufananisha na mke wake!!!!!!!