bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
UEFA washaqualify tayari,na bado 3 more wins watawazwe ubingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa . Pumzi itakata tu hawa ...wenye ligi yao watachukua nafasi zao
nilidhani ile ilikuwa ni " nguvu ya soda " . Ila bado bana , nikiangalia mechi zao zijazo napata mashaka ..Uliandika kwa " confidence" lakini naona Leicester is almost there...
Spurs stoke city, chelsea na southamptom unajua atapoteza point ngapiMsijipe moyo Leicester bado ana game ngumu zilizobaki sioni timu ya kumwachia hapo westham ataanza muharibia rekodi kwa Swansea anaweza shinda ila kwa mbinde kwa utd,Everton na Chelsea sidhani kama atapata hata 4 poonts .............. Poleni sana ngoma ya watoto haikeshi spurs anachukua ubingwa
Kwa hizi mechi tano, ninaona Leicester ana uwezo wa kushinda mechi mbili hapo.nilidhani ile ilikuwa ni " nguvu ya soda " . Ila bado bana , nikiangalia mechi zao zijazo napata mashaka ..
Ulikuwa timu gani?Watu wanahama Dini ije kuwa timu bhaana.
Its official leo nimehamia Leceistet city. Kesho mapeema naenda nunua na jezi, presha yangu ya mwili inantosha na timu nazo zinipe preesha.Aku! Leceister damu.
Ova!
Anza kufanya mazoezi ya kukaa uchi sasa.Hii timu ikichukua ubingwa natembea uchina yaani utupu tazara mpaka ubungo, Mwaka jana soton iliishiwa pumzi second round, ngoja tuone hawa Leicester city
Aisee mbona unapekuapekua sana kijana?Anza kufanya mazoezi ya kukaa uchi sasa.
Wewe sisi sio wanawake wa kihaya, uchi unabanwa hapa, haturuhusu magoli yapite hapa hovyo.....Anza kufanya mazoezi ya kukaa uchi sasa.
Wewe huo mnduku wako umewekwa pilipili?naona unawashwa na kiherehereWewe sisi sio wanawake wa kihaya, uchi unabanwa hapa, haturuhusu magoli yapite hapa hovyo.....
Mamaee sijawahi kutimia matusi hapa ila ntakuchafua we mbwa mpaka ujione mavi kundu wewe, umekuja fanya nini humuWewe huo mnduku wako umewekwa pilipili?naona unawashwa na kiherehere
J. Vardy out kapewa njano ya piliH.T Leicester city 1 West Ham 0
Goal by J.Vardy dk '16
Assist by Kante
Kadi ya pili kajitafutia tu. Kacheza ujinga sana wa kumdanganya refaJ. Vardy out kapewa njano ya pili