Lema aliwahi kumwambia Jerry Silaa 'Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, your downfall is coming'

Lema aliwahi kumwambia Jerry Silaa 'Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, your downfall is coming'

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, kwanI unafikiri wewe ni nani ? Your downfall is coming. Nakuonya, una develop character fulani hivi ya KIBURI SANA.STOP NÓW"
Screenshot 2025-11-09 104240.png
 
kama kaangushwa na utawala dhalimu, basi ni mtu mzuri na alipaswa kupongezwa, au?

i am confused ...
 
CCM huwa hawatupani, si ajabu akapewa chaka jipya kama ubalozi au title nyingine kubwa kubwa...
 
Ni kweli Slaa ni kichwa sana, lkn ana majivuno na dharau za wazi wazi.
 
Back
Top Bottom